The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kevin de bruyne anahitaji assist 5 kwenye mechi 7 zilizobaki kuweka rekodi ya assist nyingi zaidi ndani ya msimu mmoja wa EPL.
Mpaka sasa ana assist 16, rekodi iliyopo ni assist 20 iliyowekwa na Thierry Henry (2002/03) pamoja na KDB mwenyewe (2019/20)
 
Haaland akifunga goli leo ataifikia rekodi ya Andy Cole ya magoli 34 ndani ya msimu mmoja wa ligi.
 
unamuona Rodri alivyo na confidence na control ya boli sasa Jude yupo hivyo hivyo sema Rodri kamzidi kukaba na kupress
Jude yupo agresive kwenye kushambulia sema sasa agresiveness kwenye kushambulia ina madhara yake ni kupgwa counter attack nyavu ni mzuri ila anahitaj 6 na beki wazuri nnavyoona Pep hatamchukua tubeti hapa
Kovacic na Mcallister tuna Phillips na haondoki tutataja bei kubwa.

Kula treble hiyo wewee
Mkuu sijakuelewa uandishi wako.
Rodri ni DM, Bellingham ni CAM huwezi kuwafananisha.
Na kama inshu ni confidence na control ya mpira, hata Mac allister na kova wanavyo pia.
Advantage pekee ya bellingham mbele ya hao wengine ni umri wake kama alivyosema Adipoz huko nyuma.
 
Leo tutavaa uzi wetu wa mistari ya rangi nyekundu na nyeusi.

Msimu huu hii jezi tumeivaa kwenye mechi 4 tu na matokeo yalikuwa haya.

Draw against Coppenhagen (0-0)
Win against Leeds (3-1)
Defeat against Tottenham (1-0)
Draw against Leipzig (1-1)
 
Leo tunahitaji kuwatenda kitu mbaya fulham ili Arteta azidi kupagawa na kupoteana zaidi.
 
Leo tutavaa uzi wetu wa mistari ya rangi nyekundu na nyeusi.

Msimu huu hii jezi tumeivaa kwenye mechi 4 tu na matokeo yalikuwa haya.

Draw against Coppenhagen (0-0)
Win against Leeds (3-1)
Defeat against Tottenham (1-0)
Draw against Leipzig (1-1)
Hizi jezi tukizivaa huwa tunacheza kama tumefungwa kamba miguuni, mechi zote hizo tulikuwa tunacheza ujinga.
 
Laporte, foden should start today, hizi mechi 3 kabla ya UCL hazina haja ya kurudia kikosi kilekile.
 
Mkuu sijakuelewa uandishi wako.
Rodri ni DM, Bellingham ni CAM huwezi kuwafananisha.
Na kama inshu ni confidence na control ya mpira, hata Mac allister na kova wanavyo pia.
Advantage pekee ya bellingham mbele ya hao wengine ni umri wake kama alivyosema Adipoz huko nyuma.
Walikuwa wanacheza pamoja na Ferna nani alikuwa 6 kipindi kile Gundo anatokea sub
 
Hizi jezi tukizivaa huwa tunacheza kama tumefungwa kamba miguuni, mechi zote hizo tulikuwa tunacheza ujinga.
Kwasasa tuna momentum ya kutosha sio kama kipindi hicho tulikuwa hatuna consistency.
 
Siku nyingine ya kuangalia mpira mtamu kutoka kwa The Cityzens.
Mbuzi wa kafara tuliye nae leo ni fulham, kama kawaida yetu dakika ya 30 tushamaliza mchezo, zinazobaki tunafanya mazoezi.
 
Back
Top Bottom