The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa kumbukumbu zangu sikumbuki ni lini fernandinho na rodri wameanza pamoja.
Pep hajawahi kutumia defensive midfielders wawili kwa pamoja, hajawahi kuwa too defensive kiasi cha kuanza na DM wawili.
Me mwenyewe nimejiuliza ni lini/mech gan walianza pamoja kama anavyosema mdau.
 
Kitu pekee fulham watakachoenda kukipambania leo ni "to concede as few goals as they can"
Kuhusu point hata wao wenyewe wanajua hawana chao.

Let's get them.
 
Kitu pekee fulham watakachoenda kukipambania leo ni "to concede as few goals as they can"
Kuhusu point hata wao wenyewe wanajua hawana chao.

Let's get them.
Game ya mwisho na Fulham cancelo alikula red card ,mapema sana uzuri tulikuwa tunaongoza Moja .......lakin lilirudi...

Penalty ya haaland dakika za 90 ndio ilituokoa....


inatakiwa tucheze Kwa tahadhari Sana ....
 
Leo na kesho tutaongoza ligi halafu jumanne tutatoka kwa muda then jumatano tunarudi jumla.
Tutaongoza ligi kwa wiki 3 then tutapewa kombe wakati huo arsenal kaongoza kwa zaidi ya miezi 7 na bado ubingwa anaukosa.
 
Game ya mwisho na Fulham cancelo alikula red card ,mapema sana uzuri tulikuwa tunaongoza Moja .......lakin lilirudi...

Penalty ya haaland dakika za 90 ndio ilituokoa....


inatakiwa tucheze Kwa tahadhari Sana ....
Fulham hawana cha kupoteza now, game tunaiua mapema.
 
KDB out.

City starting XI

Ederson
Walker
Akanji
Dias
Stones
Rodrigo
Gundogan
Mahrez
Grealish
Alvarez
Haaland
 
KDB out.

City starting XI

Ederson
Walker
Akanji
Dias
Stones
Rodrigo
Gundogan
Mahrez
Grealish
Alvarez
Haaland
Safi ,Leo Alvarez yupo...


Leo gundo anatakiwa kuwa more creative ,game nyingi ambazo Alvarez na haaland wanaanza bila kdb kule mbele tunakuwa hatuna madhara kabisa ...

Tunakuwa hatuna movement Kali ...
 
Nahisi itakuwa approach kama ile game ya arsenal tu, kdb hakuwa involved sana kwenye kutengeneza nafasi.
Haaland huwa ana movement Kali kwenda mbele akiwa na kdb ....

Alvarez huwa anacheza vzuri nyuma akiwepo kdb ...

Sasa Leo kdb hayupo ,means gundo ajitahidikuwa creative ,pass za mpenyezo ...

Mahrez na grealish Leo wasihold mpira Sana,kudribble na kuachia ....

Leo Fulham lazima watapaki bus tu ,....so lazima ubunifu uwe juu kuwafungua ...
 
Ngoja tuone tactical genius wetu Leo kawaza nini kumuacha kdb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…