Vampios TEKASHI
Senior Member
- Apr 22, 2023
- 136
- 106
Fenandinho na rodri walikua wanacheza pamoja?Walikuwa wanacheza pamoja na Ferna nani alikuwa 6 kipindi kile Gundo anatokea sub
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fenandinho na rodri walikua wanacheza pamoja?Walikuwa wanacheza pamoja na Ferna nani alikuwa 6 kipindi kile Gundo anatokea sub
Me mwenyewe nimejiuliza ni lini/mech gan walianza pamoja kama anavyosema mdau.Kwa kumbukumbu zangu sikumbuki ni lini fernandinho na rodri wameanza pamoja.
Pep hajawahi kutumia defensive midfielders wawili kwa pamoja, hajawahi kuwa too defensive kiasi cha kuanza na DM wawili.
Game ya mwisho na Fulham cancelo alikula red card ,mapema sana uzuri tulikuwa tunaongoza Moja .......lakin lilirudi...Kitu pekee fulham watakachoenda kukipambania leo ni "to concede as few goals as they can"
Kuhusu point hata wao wenyewe wanajua hawana chao.
Let's get them.
Fulham hawana cha kupoteza now, game tunaiua mapema.Game ya mwisho na Fulham cancelo alikula red card ,mapema sana uzuri tulikuwa tunaongoza Moja .......lakin lilirudi...
Penalty ya haaland dakika za 90 ndio ilituokoa....
inatakiwa tucheze Kwa tahadhari Sana ....
Safi ,Leo Alvarez yupo...KDB out.
City starting XI
Ederson
Walker
Akanji
Dias
Stones
Rodrigo
Gundogan
Mahrez
Grealish
Alvarez
Haaland
Nafikiri alvarez atakua anacheza kama traditional no. 10 zaidi.Alvarez anapiga role ya KDB, namuamini.
Safi ,Leo Alvarez yupo...
Leo gundo anatakiwa kuwa more creative ,game nyingi ambazo Alvarez na haaland wanaanza bila kdb kule mbele tunakuwa hatuna madhara kabisa ...
Nahisi itakuwa approach kama ile game ya arsenal tu, kdb hakuwa involved sana kwenye kutengeneza nafasi.Tunakuwa hatuna movement Kali ...
Na KDB alicheza hivyohivyo game iliyopita.Nafikiri alvarez atakua anacheza kama traditional no. 10 zaidi.
Haaland huwa ana movement Kali kwenda mbele akiwa na kdb ....Nahisi itakuwa approach kama ile game ya arsenal tu, kdb hakuwa involved sana kwenye kutengeneza nafasi.
Ngoja tuone tactical genius wetu Leo kawaza nini kumuacha kdb.Haaland huwa ana movement Kali kwenda mbele akiwa na kdb ....
Alvarez huwa anacheza vzuri nyuma akiwepo kdb ...
Sasa Leo kdb hayupo ,means gundo ajitahidikuwa creative ,pass za mpenyezo ...
Mahrez na grealish Leo wasihold mpira Sana,kudribble na kuachia ....
Leo Fulham lazima watapaki bus tu ,....so lazima ubunifu uwe juu kuwafungua ...
Pep anaunda structure ya kwenda nayo bernabeu mapema sababu Ake haijulikani ni lini atapona.Laporte is totally out of favour now.