The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Game ya westham ni ngumu aisee ....

Wako motoo...

Cha mhimu , consistency...

Harafu pep asije kujaribu mifumo kwenye must win game ...Hilo litakuja kutucost ...
Approach ni ile ile ila kwenye selection imembidi afanye hivyo sababu kdb ni injury, alvarez ndie obvious altenative aliyekuwepo na ndie aliyetuokoa.
 
Ila hizi injury zinataka kutia doa ndoto za treble.

Sasahivi tuna watu wawili wako wodini, kdb na Ake japo kdb anaweza kurejea muda si mrefu.
 
Game ya west ham tunamuhitaji kdb tofauti na hapo tutakuwa na workload kubwa pale kwenye midfield sababu alvarez ni more of a striker kuliko midfieder
 
Approach ni ile ile ila kwenye selection imembidi afanye hivyo sababu kdb ni injury, alvarez ndie obvious altenative aliyekuwepo na ndie aliyetuokoa.
Hapana ni Bora Bernardo silva aanze ili pale kati kati tupamiliki vzuri ...

Ederson

Walker --- dias --- akanji

Stone --- rodri

Mahrez -- gundo -- Bernardo --grealish

Haaland
 
Hapana ni Bora Bernardo silva aanze ili pale kati kati tupamiliki vzuri ...

Ederson

Walker --- dias --- akanji

Stone --- rodri

Mahrez -- gundo -- Bernardo --grealish

Haaland
Bernado ni kweli akicheza mid ni mzuri kuleta control na kurahisisha flow ya mipira, tatizo bado linakuja, nani atafungua tight defence ya timu husika? Alvarez kwa movement zake ndani ya box anaweza kusaidia kudisturb backline ya timu husika, akikaa bernado kwenye mid timu itatawala dimba sawa lakini tutakuwa passive golini kwa mpinzani kumbuka game ya leipzig first leg, tulimkosa kdb tukaanza na bernado matokeo yake tukawa hatuko aggressive.
Bernado ili awe na impact kati acheze na kdb, bila kdb winga ndio panamfaa zaidi.
 
Pep guardiola has hinted that he may have to find a way of fitting Julian Alvarez into his plans alongside Erling Haaland and Kevin De Bruyne.

_@ Manchester Evening news

Pep aache tumalize msimu kwanza timu imesha settle asianze kuvuruga structure.
 
Pep guardiola has admitted that he is unsure when kevin de bruyne will return for first team action after missing a 2-1 win over fulham on sunday.

_@ CityXtra
 
Hapa maana yake itabidi kumdrop either winga mmoja ama kiungo mmoja.
Kwasababu gundogan anaweza kuondoka, nadhani alvarez atakua anacheza 10 then kdb 8.
Sidhani kama pep atafanya hii kwa msimu huu, hizo ni future plans.
 
Pep guardiola has admitted that he is unsure when kevin de bruyne will return for first team action after missing a 2-1 win over fulham on sunday.

_@ CityXtra
Kwaiyo majeruhi wawili sasa hivi, huyu kdb ameumia mazoezin au?
 
Hapa maana yake itabidi kumdrop either winga mmoja ama kiungo mmoja.
Kwasababu gundogan anaweza kuondoka, nadhani alvarez atakua anacheza 10 then kdb 8.
Sidhani kama pep atafanya hii kwa msimu huu, hizo ni future plans.
Ngoja tuona atafanyaje japo hata mimi naona obviously atapunguza mtu kwenye mid ili kumuingiza alvarez kama akihitaji kwenda na hiyo plan ila kwa sasa aache tumalize msimu.
 
Another blow, hiki kipindi tunahitaji kikosi kilicho kamili na fiti ila ndio watu wanumia hope atapona mapema.
Kdb kufikia wiki ijayo anaweza akarejea, ake ndio haijaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…