The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuna vichwa pori wanatumia performance ya leo kupredict matokeo ya uefa yatakavyokuwa, wamesahau hata Huyo madrid juzi tu hapa kapigwa 4
 
Fulham wangekuwa kwenye relegation battle nadhani tungekuwa na wakati mgumu zaidi.
 
Game nilijua itakuwa ngumu tu ...

Alvarez & haaland pamoja nyuma hakuna creative midifilder kama kdb ,aisee asije rudia huu mfumo .....
 
Alvarez ni striker kumrudisha nyuma kucheza kama 10 ,huwezi pata unachokitaka ...

Game ambazo Alvarez na haaland wote wameanza zinaisha Kwa kubana pumbu aisee....
 
Alvarez ni striker kumrudisha nyuma kucheza kama 10 ,huwezi pata unachokitaka ...

Game ambazo Alvarez na haaland wote wameanza zinaisha Kwa kubana pumbu aisee....
Uliona namna kdb alivyokuwa anacheza siku ya arsenal? alikuwa ni pure no 10.
Alvarez nae ndio alikua anacheza hivyo leo.
 
Game nilijua itakuwa ngumu tu ...

Alvarez & haaland pamoja nyuma hakuna creative midifilder kama kdb ,aisee asije rudia huu mfumo .....
Leo mzee alitaka kuyakanyaga, yawezekana labda kdb hakuwa fit 100%
 
Cha muhimu tushinde mechi zetu, zimebaki mechi 5 tutangaze ubingwa.
Kituo kinachofuata ni west ham jumatano.
 
KDB ana injury, anaweza kuikosa pia game ya west ham.
Game ya westham ni ngumu aisee ....

Wako motoo...

Cha mhimu , consistency...

Harafu pep asije kujaribu mifumo kwenye must win game ...Hilo litakuja kutucost ...
 
Back
Top Bottom