The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tumecheza mpira wa kawaida, second half naona tuna magoli mengine mawili fulham wakianza kuwa aggressive.
 
Tulikuwa tushaanza kutetereka baada ya fulham kusawazisha.
Kipindi cha pili ambapo watafunguka zaidi nadhan tutaanza kucheza direct balls za kutosha kwenda kwa haaland huku alvarez akitrail kwa nyuma sababu fulham the more watafunguka, the more wataachia space nyuma.
 
Kama mmesha notice, city nowdays imekua hatari zaidi inapocheza na aggressive teams.
Unless fulham acheze passively, basi naona tunaenda kuwaadhibu tena.
 
Tulikuwa tushaanza kutetereka baada ya fulham kusawazisha.
Kipindi cha pili ambapo watafunguka zaidi nadhan tutaanza kucheza direct balls za kutosha kwenda kwa haaland huku alvarez akitrail kwa nyuma sababu fulham the more watafunguka, the more wataachia space nyuma.
Seriously hii approach inahitaji team zinazotoka nyuma, hawa sababu washatoboka, kazi wanayo
 
Erling Haaland ameshaifikia rekodi ya Andy Cole ya magoli 34 kwa msimu mmoja.

We are just keep on counting
 
Hizi dakika 10 za mwanzo ilitakiwa tuwe na goli la 3, fulham wameanza kukata pumzi.
 
Poleeeee wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

IMG_6441.jpg

Asante
 
Hii game yanaweza kujirudia ya nottingham, tumeanza second half vizuri lakini sasahivi game imeanza kuwa out of control na ni 2-1 mda wowote linarudi
 
Back
Top Bottom