Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rasmi Arsenal kashushwa leo na ndo baaaaaaaaaaaasi
We nae unaandikaga ujinga tu, huyo madrid nae si alipigwa 4 huko ila sisi kushinda 2-1 ya jasho ndio unaona tabu mtapata tabu sana.Kwa hiki kiwango wewe na Arsenal hadi mechi ya mwisho.
Penalty ya uongo imekupa points 3
Ucheze hivi na Madrid ni 5-0 easy
Uliona namna kdb alivyokuwa anacheza siku ya arsenal? alikuwa ni pure no 10.Alvarez ni striker kumrudisha nyuma kucheza kama 10 ,huwezi pata unachokitaka ...
Game ambazo Alvarez na haaland wote wameanza zinaisha Kwa kubana pumbu aisee....
Huyo ni punguani wa liverpool achana naeWe nae unaandikaga ujinga tu, huyo madrid nae si alipigwa 4 huko ila sisi kushinda 2-1 ya jasho ndio unaona tabu mtapata tabu sana.
As long as tumeshinda hayo mengine tuyaache, 3 points first.Fulham wangekuwa kwenye relegation battle nadhani tungekuwa na wakati mgumu zaidi.
Leo mzee alitaka kuyakanyaga, yawezekana labda kdb hakuwa fit 100%Game nilijua itakuwa ngumu tu ...
Alvarez & haaland pamoja nyuma hakuna creative midifilder kama kdb ,aisee asije rudia huu mfumo .....
Wenyewe ni kawaida yao wanakumbuka shuka kumekucha [emoji23][emoji23][emoji23]Liverpool gari limewaka sasahivi wanagawa tu dozi, toka tuwafunge hawajapoteza tena.
Game ya westham ni ngumu aisee ....KDB ana injury, anaweza kuikosa pia game ya west ham.