Even if akiwepo sidhani kama ataanza.Timu itafanya training masaa machache yajayo na tutajua kama KDB atakuwepo ama la.
Probability ni kubwa tu yeye kuuzwa.Yeah ni rumours tu, ngoja tuone.
Kwa hii bei tushampoteza huyo, PSG wanamtaka hiyo hela kwao hawajiulizi mara 2Bernado kawekewa valuation ya € 75m.
Timu itakayolipa hiyo pesa itamchukua.
kipara anaweza kumuanzisha walker kwenye mechi ya madrid akamkabe vinn hizi nyingine akanji akacheza tu kama kawaida.Ake's return means disastrous for Walker.
Sawa ngoja tuoneProbability ni kubwa tu yeye kuuzwa.
Akanji vs Sanekipara anaweza kumuanzisha walker kwenye mechi ya madrid akamkabe vinn hizi nyingine akanji akacheza tu kama kawaida.
Walker nae kaonyesha kazi nzuri itampa wakati mgum kocha kuchagua.Akanji vs Sane
Akanji vs Saka
Akanji vs Mane
Hizi battle zote akanji alizimudu vizuri, Ake akiwa full fit, walker ndio basi tena.
Ile kesi yetu ndio itakua sababu.Taarifa za ndanindani zinasema Haaland hayuko tayari kwa mazungumzo yoyote ya kuongeza mkataba.
Mkataba wake wa sasa una release clause ya €200m ambayo inakua active mwaka ujao.
Benzema wamemtunza tu.Naskia madrid huko benzema anaweza kwenda wodini [emoji23][emoji23]
Sababu inaweza kuwa ni hiyo, kwamba club ina uncertain future lakin haaland mwenyewe ana ambition za kuchezea madrid.Ile kesi yetu ndio itakua sababu.
[emoji1787] ashakula tatu, hawajawahi kuwa na spirit wale.Hii line up ya chelsea inaonyesha leo wanaweza kuwa serious kiasi wakiingia na fighting spirit.
Akanji ataendelea kuanza as long as yuko fiti.Walker nae kaonyesha kazi nzuri itampa wakati mgum kocha kuchagua.