Agustin kun Aguero
JF-Expert Member
- Mar 22, 2023
- 532
- 641
Hizo allegations zinatuathiri sana kwa mazingira kama haya.Ile kesi yetu ndio itakua sababu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo allegations zinatuathiri sana kwa mazingira kama haya.Ile kesi yetu ndio itakua sababu.
Kibonde anamuonea kibonde mwenzie.Hii chelsea ilitakiwa wawe kwenye relegation battle huko, sijui kama wataonja ushindi tena kwenye huu msimu.
Ndoto zake yeye ni madrid hiyo iko wazi, mkataba mpya anaotaka kupewa unaondoa option ya release clause ambayo itaweka ugumu wa madrid kumsajili ndio maana kakataa kuanza mazungumzo.Hizo allegations zinatuathiri sana kwa mazingira kama haya.
Bado kina vinn,modric, alaba ni doubts.Benzema wamemtunza tu.
Julian Alvarez yupo timu haitoingia sokoni kutafuta replacement.Replacement ya haaland itakua ni nani ikitokea amegoma ku sign mkataba ??
Niliona mahala tunamtaka Moukoko wa dortmund.Julian Alvarez yupo timu haitoingia sokoni kutafuta replacement.
Nimecheki mechi yao jana versus Real sociedad aiseeee Bila Benzena na Vini Jr kule mbele Rodrygo anateseka sana.Imagine tucheze na madrid haina benzema,modric,alaba,militao.
Madrid walaini mno msimu huu tatizo watu wanaishi kwa mazoea utaskia mara oh madrid kwenye hatua kama hizi huwa ni balaa!!Nimecheki mechi yao jana versus Real sociedad aiseeee Bila Benzena na Vini Jr kule mbele Rodrygo anateseka sana.
[emoji1787] watengenezewe hata la udongo aise mana tofauti na hapo labda waliibe.Ila hii sio fair, wakati watu tunaenda kubeba kombe mara ya tatu mfululizo kuna timu huko inaenda miaka 20 haijabeba hili kombe, miaka yote hiyo wao wanajisifia mpira mzuri [emoji23][emoji23]
Kuna jamaa mmoja wa madrid anakuambia Madrid wakitaka jambo la hakuna wa kumpinga , nasubir mwaka huuMadrid walaini mno msimu huu tatizo watu wanaishi kwa mazoea utaskia mara oh madrid kwenye hatua kama hizi huwa ni balaa!!
Labda kama kaanza kuangalia mpira msimu uliopita.Kuna jamaa mmoja wa madrid anakuambia Madrid wakitaka jambo la hakuna wa kumpinga , nasubir mwaka huu
Alvarez yuko more packaged kuliko moukoko na ni versatile.Niliona mahala tunamtaka Moukoko wa dortmund.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787] watengenezewe hata la udongo aise mana tofauti na hapo labda waliibe.
You're right lakini na hizi allegations pia zina impact yake.Ndoto zake yeye ni madrid hiyo iko wazi, mkataba mpya anaotaka kupewa unaondoa option ya release clause ambayo itaweka ugumu wa madrid kumsajili ndio maana kakataa kuanza mazungumzo.