The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii chelsea ilitakiwa wawe kwenye relegation battle huko, sijui kama wataonja ushindi tena kwenye huu msimu.
 
Kesho tunajipigia west ham bao 3 swafi, habari za arsenal kileleni tunazizika rasmi.
 
Hizo allegations zinatuathiri sana kwa mazingira kama haya.
Ndoto zake yeye ni madrid hiyo iko wazi, mkataba mpya anaotaka kupewa unaondoa option ya release clause ambayo itaweka ugumu wa madrid kumsajili ndio maana kakataa kuanza mazungumzo.
 
Replacement ya haaland itakua ni nani ikitokea amegoma ku sign mkataba ??
 
Ila hii sio fair, wakati watu tunaenda kubeba kombe mara ya tatu mfululizo kuna timu huko inaenda miaka 20 haijabeba hili kombe, miaka yote hiyo wao wanajisifia mpira mzuri [emoji23][emoji23]
 
Kdb jana ametrain na timu lakini uwezekano wa kuanza leo ni mdogo mno.
 
Nimecheki mechi yao jana versus Real sociedad aiseeee Bila Benzena na Vini Jr kule mbele Rodrygo anateseka sana.
Madrid walaini mno msimu huu tatizo watu wanaishi kwa mazoea utaskia mara oh madrid kwenye hatua kama hizi huwa ni balaa!!
 
Ila hii sio fair, wakati watu tunaenda kubeba kombe mara ya tatu mfululizo kuna timu huko inaenda miaka 20 haijabeba hili kombe, miaka yote hiyo wao wanajisifia mpira mzuri [emoji23][emoji23]
[emoji1787] watengenezewe hata la udongo aise mana tofauti na hapo labda waliibe.
 
Madrid walaini mno msimu huu tatizo watu wanaishi kwa mazoea utaskia mara oh madrid kwenye hatua kama hizi huwa ni balaa!!
Kuna jamaa mmoja wa madrid anakuambia Madrid wakitaka jambo la hakuna wa kumpinga , nasubir mwaka huu
 
Niliona mahala tunamtaka Moukoko wa dortmund.
Alvarez yuko more packaged kuliko moukoko na ni versatile.
Moukoko labda kama anatafutwa ili aje awe back up ya Alvarez lakini sio replacement ya Haaland.
 
Ndoto zake yeye ni madrid hiyo iko wazi, mkataba mpya anaotaka kupewa unaondoa option ya release clause ambayo itaweka ugumu wa madrid kumsajili ndio maana kakataa kuanza mazungumzo.
You're right lakini na hizi allegations pia zina impact yake.
 
Aise n Bora McAlister's kuliko huyu covacic kama kweli rumors za kutua Etihad zitakua serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…