The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

With alvarez & haaland huwa tunastruggle sana kwenye kutengeneza nafasi hasa kwa hizi timu zinazocheza low block.
Alvarez kaonyesha development nzuri kucheza kama namba 10, hope leo atadeliver another classic perfomance.
 
Leo kwa vyovyote tunapaswa kuwa katika nafasi yetu ya cku zote hawa Arsenal masaa tulowaachia ya kukaa hapo yatosha.
 
Twende tukachukue point zetu tatu tumsubiri anayekuja.

Etihad kila goti litapigwa.
 
Mpira wa ulaya umeanza kuangalia lini?
Maana mtu anayefatilia mpira hawezi kuandika hivi.
Mancty nusu ya goli zimefungwa na haland.mim nimeongea hivi na pep amewahi ongea hivi kwa kusema bila pesa iliyopo cty angekua na changamoto je pep ameamza kuangalia mpira lini?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba asingekuwepo haaland tungekua na nusu ya magoli tuliyofunga sasa.
Msimu uliopita hatukua na haaland timu ilikuaje?
Weka hapa hiyo interview ambayo pep anasema bila haaland angehangaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…