gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,651
- 4,151
Cty ya msimu huu na msimu uliopita ni ardhi na mbingu msimu uliopita ilikua ya Moto mno na magoli pale mbele wali gawana sanaKwamba asingekuwepo haaland tungekua na nusu ya magoli tuliyofunga sasa.
Msimu uliopita hatukua na haaland timu ilikuaje?
Weka hapa hiyo interview ambayo pep anasema bila haaland angehangaika.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app