The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwamba asingekuwepo haaland tungekua na nusu ya magoli tuliyofunga sasa.
Msimu uliopita hatukua na haaland timu ilikuaje?
Weka hapa hiyo interview ambayo pep anasema bila haaland angehangaika.
Cty ya msimu huu na msimu uliopita ni ardhi na mbingu msimu uliopita ilikua ya Moto mno na magoli pale mbele wali gawana sana

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Pale mbele zinahitajika purukushani za kutosha, bado hatujawa disturb west ham vya kutosha.
 
Pale kati hakuna ubunifu ....

Gundo anahitajika haraka Sana ...

Vinginevyo hii game inaenda kutushinda ...
 
Alvarez inabidi awe anacover eneo kubwa kama kdb, kwenye zile right channels anakuwa hafiki sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…