The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Trent na liverpool yake wanaelewa mziki ila arsenal ukiwakuta wamejipinda huko kwenye jukwaa lao sasa [emoji1787][emoji1787]

"If city are even anywhere close, If they smell blood at chrismass, new year, it's game over realy, there is no stopping them once they start winning and now at this point, I'd be suprised if they drew a game.

"I think it got to be mentality because they don't even go behind in games at this point, there is no messing around there is no ups and downs"
 
MASSIVE BOOST:

Kevin de bruyne is set to return for the leeds clash.
 
Pep on whether kalvin phillips will be able to feature against his former club.

"I'm sure he will be, he is ready for it just like any other player"
 
Hapa kwa bellingham ni mtifuano mtupu.
Bellingham anapenda kwenda real madrid ila borrusia wanataka €150 milion ila madrid wameishia kwenye €120 milion.
Ripoti zinasema city tuko tayari kutoa hiyo €150m na mshahara mkubwa zaidi kuliko ambao madrid wanataka kumpa.
Madrid wanaelekea ku-finalize deal la bellingham.
Kuna viungo wengi wazuri hakuna haja ya kukomaa na huyo mtoto wa kiingereza.
 
Kwahiyo pesa hata soton wakitaka wanamchukua kiulaini kabisa.
Hahahah
Kalvin mwaka juzi tu hapa alikua hashikiki kabisa hasa kwenye euro lakini hali imebadilika.
Mimi bado nina imani nae, hatakiwi kuuzwa ana potential kubwa sana apewe muda tu.
 
Hahahah
Kalvin mwaka juzi tu hapa alikua hashikiki kabisa hasa kwenye euro lakini hali imebadilika.
Mimi bado nina imani nae, hatakiwi kuuzwa ana potential kubwa sana apewe muda tu.
Mfumo umekuwa mgumu kwake ngoja tuone next season.
 
Andy Madley is the official for Manchester city vs Leeds.
 
Basics za pep zimegoma kumuingia, anaweza akaingia kwenye mfumo next season but ana uwezekano mkubwa wa kuuzwa summer.
Zile injury za mwanzo wa msimu nafikiri ndio zilimtoa kwenye reli sababu hata maandalizi ya pre season aliyakosa, amekuja kurudi ligi imeshachanganya, kiufupi hajapata muda wa kutosha kuadapt mfumo, apewe muda hapo inabidi tukubaliane na Agustin kun Aguero
 
Pep "it's up to kalvin phillips to show me he deserve man city future"
 
Man city are said to have reignite their interest in Bayer leverkusen wonderkid Florian Wirtz.

(FootballFanCast)
 
Back
Top Bottom