Huyu kuna kila dalili atauzwa tu.Pep "it's up to kalvin phillips to show me he deserve man city future"
Leo atapewa dakika za kucheza, ndio anakuwa asessed hivyo.Huyu kuna kila dalili atauzwa tu.
Anasema there is no one ahead of him in terms of football, not pep, not klopp.Big sam kaja kwenye "four match rescue mission" lakini mechi ya kwanza tu anatupwa kwa City [emoji3]
Hawa sijui kikombe cha goli 4+ watakiepuka vipi.Leeds conceded 23 goals in April, the most goals conceded by a team in a single month in EPL.
Huchoki tu kuitwa mbwa ?Kila la kheri Leeds united
Mwacity mkishinda leo mniite mbwa jike
casemiro??EPL team of the season.
Rashford___Haaland___Salah
KDB___Casemiro___Odegaard
Zinchenko__Dias__Saliba__Trippier
__Ramsdale
Mzee wetu huyu inabidi tumpige 2 tu za kumkaribisha upya kwenye EPL.Anasema there is no one ahead of him in terms of football, not pep, not klopp.
Ngoja leo tukutafutie dume.Kila la kheri Leeds united
Mwacity mkishinda leo mniite mbwa jike
Ubaya sasa ni kwamba pale etihad hatutoagi vipigo vidogo, vipigo vya rejareja pale etihad pep kashavipiga marufuku.Mzee wetu huyu inabidi tumpige 2 tu za kumkaribisha upya kwenye EPL.
Jamaa kipindi cha yule Garcia hata wakiweka deep block midfield yao inapitika kirahisi, wakiamua kuja kupress wanakosa unity wanakuwa exposed, leo sam atatupa challenge mpya.Leeds ni wabovu sana kwenye set pieces both defending and attacking, hawawezi kupress, hawawezi kucheza deep block yani wapowapo tu.
Ujio wa big sam labda utabadilisha mambo lakini hii leeds tunaweza tukaipiga hata 8.