The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Watu wanacheza na historia, mara ooh madrid anajua namna ya kucheza haya mashindano mara ooh wana uzoefu..

Hatukatai wana uzoefu ila kwa kesho itakuwa ni tofauti.
 
Kulikua na taarifa kwamba bellingham amekataa offer ya city, ni kwamba bado hatujapeleka official offer yoyote kwa dortmund/Bellingham.
Lakini ni obviously yeye anataka kwenda madrid.
 
Pep mwenyewe kashaelewa anapokwama, for now amestick kwenye structure, no overthinking anymore.
Hakuna aliyetegemea pep atawaacha rodri na fernandinho kwenye fainali ya ucl na huku kawatumia season nzima, akaingia bila natural DM.
Pep hatabiriki.
 
Pep
"we are not here for revenge against real madrid"

Sisi tunaenda kucheza mpira tu.
 
Everton ni wa 17 sasa hivi, anapambana kwa nguvu zote asishuke kule chini, tutakutana nae hapo tumetoka kwa madrid na ni away.
Hiyo game itategemea na matokeo ya first leg, tukitoka kule comfortably, basi everton tutakuja kumshughulikia, matokeo yakiwa si mazuri basi hapo utakuwa mtihani.
Uzuri ni kwamba game ni jumapili, tutakuwa na muda mwingi wa kurecover from tuesday to sunday, kama siku 4 hivi hapo kati.
 
Everton ni wa 17 sasa hivi, anapambana kwa nguvu zote asishuke kule chini, tutakutana nae hapo tumetoka kwa madrid na ni away.
Everton sio timu ya kuhofia, ndio ratiba ni ngumu ila everton sio timu ya kuifikiria wala kuihofia.
 
Game ngumu pekee ya city iliyobaki msimu huu ni ya kesho..second leg pale etihad haina mjadala hiyo.
 
Hizi game 3 tukichomoka vizuri ndio imeisha hiyo.
 
Hizi mechi leo zina magoli, nottingham na soton 4-2 dakika ya 80+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…