The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Madrid leo watamkosa militao kwa sababu ya suspension.

City- ake
Madrid- militao, ceballos.
 
Wote kwa pamoja tuiombee manchester city LEO tushinde hii mechi v madrid
 
Leo kitaeleweka tu, Ake watamkuta kule etihad
Injury tunazokua nazo mostly huwa zinatukost na huwa zinakuja kwenye defence.

Semi final ya 2016 second leg tulimkosa captain kompany.

Semi final ya mwaka jana first leg tukawakosa cancelo na walker.

Semi final ya mwaka huu first leg tunamkosa Ake.
 
Haitakuwa an easy match kama watu wanavyo dhania...

Remember madrid used to move,mountains ili washinde 3 consecutive uefa titles...when it comes to uefa madrid becomes a different breed... A nightmare for the most of European teams

Remember the full fit Liverpool couldn't win uefa final under this shity madrid with vinicius jr brace

Remember when pep was asked why you couldn't lift a uefa trophy... He replied because there is madrid there...

Be careful... All the best to all team "the superior among them surely deserve the trophy"[emoji471]
 
Always tukikutana na real madrid lazima tuwe na injury ya key player(s) why?
Pep leo angekuwa na wakati mgumu sana kuchagua aanze nani kama right fullback kati ya walker na akanji.
Ake hayupo maana yake backline piga ua itakuwa-

Akanji...dias...stones...walker
 
Injury tunazokua nazo mostly huwa zinatukost na huwa zinakuja kwenye defence.

Semi final ya 2016 second leg tulimkosa captain kompany.

Semi final ya mwaka jana first leg tukawakosa cancelo na walker.

Semi final ya mwaka huu first leg tunamkosa Ake.
Hakutakuwa na pengo leo, we have the bad man Akanji.
 
Defence ndio eneo pekee lililokua linatuangusha, msimu huu tuna ukuta wa berlin, ndiyo timu iliyoruhusu magoli machache zaidi kwenye uefa msimu huu magoli 4 tu.

Kwenye kufunga wala hakuna mjadala, city hatujawahi kufeli linapokuja suala la kuscore.

Tukilikosa hili kombe mwaka huu nitaamini kweli tuna laana ya uefa.
 
Hili kombe tungekuwa tushalibeba toka 2021, pep akatuchomesha fainali.

Mwaka huu akishikilia hapahapa bila the so called overthinking, huyu mwali tunamleta etihad kwa mara ya kwanza.
 
Fabio Capello has labeled Manchester city "the best team in the world"

Tumesifiwa sana, ni muda sasa wa kubeba hili kombe.
 
Pep leo angekuwa na wakati mgumu sana kuchagua aanze nani kama right fullback kati ya walker na akanji.
Ake hayupo maana yake backline piga ua itakuwa-

Akanji...dias...stones...walker
Hatakama Ake angekuwepo, leo walker angeanza tu, akanji angebaki benchi.
 
Fabio Capello has labeled Manchester city "the best team in the world"

Tumesifiwa sana, ni muda sasa wa kubeba hili kombe.
It's a shame the best team in the world tunashindwa kubeba uefa.
We have to do it now.
 
Hili kombe tungekuwa tushalibeba toka 2021, pep akatuchomesha fainali.

Mwaka huu akishikilia hapahapa bila the so called overthinking, huyu mwali tunamleta etihad kwa mara ya kwanza.
UEFA inahitaji mpira wa kimafia, City now tunacheza kimafia, hatujali tena habari za possession, tunacheza kiutu uzima.

Madrid leo hatofunga magoli malaini kama aliyofunga pale etihad msimu uliopita.
 
Bro kwa ushindi huo unategemea uende final na bado kuna kiama cha etihad?

There is no way madrid ataenda final.
.
0e23428f589b474192a31f7da9dbf374.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Real madrid eliminated Man city last season.

But that City didn't have aggressive Haaland on it's frontline.

That City didn't have combative Akanji and brilliant Stones at it's backline.
 
Back
Top Bottom