The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Real madrid eliminated Man city last season.

But that City didn't have aggressive Haaland on it's frontline.

That City didn't have combative Akanji and brilliant Stones at it's backline.
Man city their Good too Good...sema madrid Wana classy wako na standard yao...kuna sababu ya wao wanaitwa wafalme...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Real madrid eliminated Man city last season.

But that City didn't have aggressive Haaland on it's frontline.

That City didn't have combative Akanji and brilliant Stones at it's backline.
Yani kuna watu wanaamini kabisa eti madrid atapita.

Madrid etihad tulimpiga goli 4, yeye akarudisha 3 sababu ya defence urojo tuliyokuwa nayo,

right back fernandinho, solid ila mzito, (vs vinicius [emoji3])

left back zincheko, sio solid na hana speed.

Madrid wakawa wanateleza tu wakapunguza deni la magoli.

Second leg tulitengeneza nafasi za kutosha kukawa hakuna clinical finisher, madrid wamekuja kufunga magoli dakika za mwisho wametutoa.

Sasa watu wanatembelea historia tu, madrid hana timu ya kuitoa city msimu huu.
 
some lads maybe huwa wanasubiri matokeo tu.
Akishaona madrid 3-1 City baaas.
 
Kwanini Man city itashinda leo?

1. Erling Haaland
Ni dhahiri moja kati ya maeneo yaliyokuwa yakituangusha ni finishing. Tulihitaji wastani wa nafasi 4-5 kufunga goli moja.
With Haaland, sasa tunahitaji wastani wa nafasi 2-3 kufunga goli moja kitu ambacho kimetufanya tuwe efficient na hatari zaidi langoni mwa timu pinzani.

2. Defence
Hapa ndipo ugonjwa wetu ulipokuwa. Ilikuwa hatuwezi kulinda magoli tunayofunga.
Ingizo la Akanji, Dias kurejea katika kiwango chake na evolution ya Stones, vimetupeleka kwenye kiwango kingine kabisa linapokuja suala la ulinzi, kwenye UCL msimu huu hatufungiki kirahisi, We have the best defence in UCL this season.
 
Shabiki wa Liverpool kutoka VISIWANI huku nasemaje Leo Madrid mumdunde mpaka atoke Manundu
Worry out bro, madrid kaziaibisha sana timu za uingereza msimu uliopita, anataka kufanya tena hivyo msimu huu, kitu ambacho hatutakubali.

Leo tutampiga kipigo cha kawaida then pale etihad najua unajua vile si hufanya, hatutoi vipigo vya kubembelezana.
 
Carlo Ancelotti (muumini wa Arrigo Sacchi) Vs Pep Guardiola (muumini wa Johan Cruyff)

Carlo ana rekodi nzuri mbele ya pep (Akiwa kwenye elite clubs, si everton)
 
Kuna yule camavinga, atakayecheza kule kulia ana kazi sana kwa huyu dogo.
Hope atacheza bernado sababu madrid huwa wana overload upande wa kulia means bernado atakuwa anarudi kukaba.

Kuhusu camavinga, kazi ya grealish na bernado/mahrez ni kukaa wide kustretch backline kutengeneza space kwa kina haaland,kdb na gundogan kufanya movement zao, solidity ya camavinga wala sio tatizo, atashindana na mtu mmoja ila sio mfumo.
 
Back
Top Bottom