Adipoz
JF-Expert Member
- Jan 24, 2023
- 527
- 459
Kuna kila dalili leo tunaenda kupata first away win.Man city msimu huu kwenye uefa tumeshinda mechi moja tu ya ugenini.
1 win
4 draws
0 loss
Mauaji yote ni etihad.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kila dalili leo tunaenda kupata first away win.Man city msimu huu kwenye uefa tumeshinda mechi moja tu ya ugenini.
1 win
4 draws
0 loss
Mauaji yote ni etihad.
[emoji123]Man city is the only unbeaten team until now in UCL this season.
Tunachukua ubingwa bila kupoteza mechi yeyote.
Let's seeDraw vs copenhagen (heavy rotation)
Draw vs dortmund (injuries & rotation)
Draw vs leipzig (incosistency)
Draw vs bayern (second leg defensive mentality)
Vs madrid ?
Tuna kila sababu ya kumpiga.
Akianza walker ntakuwa na amani, he is the perfect defensive fullback.What makes him even more dangerous ni kwamba huwa ana combine na rodrigo ambaye huwa anatoka kulia kuja upande wa kushoto, kulia wanamuacha valverde.
Huko kwenye mbavu yetu ya kulia kunahitaji nguvu kazi ya kutosha.
Halafu mimi leo sina hata papara sababu najua etihad ndio mwisho wa kila kitu.Kuna kila dalili leo tunaenda kupata first away win.
Madrid wameyakanyaga leoLeo Mta shangazwa na expectations zenu
Tunapowaambia pep hatanii mnachukulia poa subirini.Leo Mta shangazwa na expectations zenu
Perez huwa anacheza mpira nje ya uwanja, mzee wa fitna huyo.Kulikuwa na taarifa kwamba madrid wametumia fake news za usajili wa bellingham kama psychological tactic sijajua zina ukweli kiasi gani.
Tuta waonaMadrid wameyakanyaga leo
Sawa tuta waonaTunapowaambia pep hatanii mnachukulia poa subirini.
Kikosi kilikuwa kinaeleweka kabisa.Hapa sasa ndio penyewe.
City starting XI
Ederson
Walker
Akanji
Dias
Stones
Rodri
Gundogan
KDB
Bernado
Grealish
Haaland
Wamemrisk naskia.Huyu modric nilifikiri injury.