The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Madrid wametupitisha kwenye machungu ya hali ya juu inabidi tuwachape kwao na kwetu.

come on city.
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa usiku wa deni haukawii kucha City tufanye jambo letu kuelekea Final niwatakie ushindi wa kibabe sana.
 
Hamna team ya kumtoa Madrid
3-1 mnapigwa
Inaishia hapa hapa Bernabeau
 
Raha ya kuangalia game ambayo haina pressure
 
Daadeki hawa jamaa tumewapania, hakuna kuwaachia mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…