The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Madrid wanapigika, tunahitaji tu utulivu, na tunahitaji kuwa direct tunapiga pasi tu zisizo na maana.
 
Madrid wanapigika, tunahitaji tu utulivu, na tunahitaji kuwa direct tunapiga pasi tu zisizo na maana.

Anceloti Ni far superior kumzidi Pep ..
Pepe bila Messi Hadi Leo anahangaika champions League hapati..
Anceloti ana makombe mangapi??
 
walker arudi kwnye mbao ndefu tu.. yule mtoto vini hamuwezi.
 
Yaani kama tumerogwa vile tunapofika mbele tunakuwa kama tupo gizani anyway acha tuone kwa 2nd half.
 
Goli la Vin angekaza msuli kidogo tu lingefanania na lile la Kibu
 
Back
Top Bottom