Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Rest in peace classmateKila la kheri Leeds united
Mwacity mkishinda leo mniite mbwa jike
Madrid wanapigika, tunahitaji tu utulivu, na tunahitaji kuwa direct tunapiga pasi tu zisizo na maana.
Mkuu second half city watakuja kivingine na kushinda 2-0Zimwi LA uefa limeanza kututafuna.
Na akeWazee hii mechi inamuhitaji Phoden na mahrez
Nakubaliana na wewe kabisa. Second half city watakuja kivingine na kushindaCity ikirudigi half time inakuja kivingine. Pep's masterclass incoming. Ushindi upo hapa.
Mkuu bado mapema sanaNiliwaambia mapema wakashindwa kutafsiri mambo