Vampios TEKASHI
Senior Member
- Apr 22, 2023
- 136
- 106
Gooal ancelotti
4-4 90 +4'
4-4 90 +4'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They'll complete their comeback in 3rd leg[emoji1787][emoji1787][emoji24]Goooal benzema
4-2 90 +2'
Hao ndio man city, kama namuona aguero vile
Hakuna cha benzema, vinicius wala modric hahhaaaaaaaaa
na fainal mtachezea etihad bas katen rufaa muombe ihamishiwe apoMtu unamwambia vizuri tu kwamba bwana pale etihad hatujapoteza mechi yeyote kwenye UCL kwa miaka mitano mfululizo, analeta porojo
Imekuaje tena si nasikia Madrid hanaga cha nyumbani wala ugenini
Brother, naona unatapatapa sana, in short sina cha kukusaidiana fainal mtachezea etihad bas katen rufaa muombe ihamishiwe apo
Mtu unamwambia vizuri tu kwamba bwana pale etihad hatujapoteza mechi yeyote kwenye UCL kwa miaka mitano mfululizo, analeta porojo
Tuseme fainali tatu tu na game ya Chelsea jumapiliFainali 2 hizo