The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mtu unamwambia vizuri tu kwamba bwana pale etihad hatujapoteza mechi yeyote kwenye UCL kwa miaka mitano mfululizo, analeta porojo
na fainal mtachezea etihad bas katen rufaa muombe ihamishiwe apo
 
Mtu unamwambia vizuri tu kwamba bwana pale etihad hatujapoteza mechi yeyote kwenye UCL kwa miaka mitano mfululizo, analeta porojo

Kuna watu ubishi ni asili yao lakini unajiuliza hata records nazo hawaziamini?
 
Imagine Alvarez anakuwa na CL ,PL ,fa ,wc ......balondoor si anachukia hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…