The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Unafikiri hata anamaanisha basi, wote tunajua UEFA ndio kitu pekee kinachowapa critics wake maneno ya kumsema, wanakwambia "pep can't win UEFA without messi" halafu leo yeye atuambie EPL ndio muhimu zaidi [emoji3] NEVER.
Yaan alitaka kunirusha rohoo hapa khaaaah
 
Kuna ka mjadala kanaendelea eti treble ipi itakuwa iconic zaidi kati ya ile ya nyumbu au hii inayotarajiwa kuwa yetu.
 
Kuna ka mjadala kanaendelea eti treble ipi itakuwa iconic zaidi kati ya ile ya nyumbu au hii inayotarajiwa kuwa yetu.
Tukibeba treble itakua ya kibabe sababu tutakua tumefanya total dominance, mpira mkubwa.

Treble ya man u ukiifatilia utagundua ilikua ya papatu papatu sana.
 
Tukibeba treble itakua ya kibabe sababu tutakua tumefanya total dominance, mpira mkubwa.

Treble ya man u ukiifatilia utagundua ilikua ya papatu papatu sana.
Maybe kama tukiongelea kwenye angle ya excitement, treble ya united ilihusisha comebacks nyingi sana tofauti na city kama tukibeba itakua tumebeba kwa kufanya utemi kwa opponents wetu, mtu unafungwa wewe mwenyewe unakubali kweli huu mziki ni maji marefu.
 
Hahahaha mwaka 1999 ulikuwa unajua mpira wewe kima.
Mechi zipo mitandaoni tumeona namna walivyokuwa wanatembelea upepo wa bahati, uwezo walikua nao lakin sio kama ilivyo city, bahati ili play part kubwa sana kwenye treble yao.
 
Nyumbu inaonekana walibeba kibahati bahati sana.
 
Kuna kila dalili kesho chelsea watatufanyia guard of honour.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…