Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teams with the longest unbeaten streaks at home in UCL history.
1. Barcelona - 38 matches
2. Bayern munich - 28 matches
3. Man city - 26 matches
Bernado silva kashinda tuzo zote za UCL player of the week na UCL goal of the week.
Hiyo ya barcelona itahitajika si chini ya misimu miwili kuifikia.Msimu ujao tunavunja record
Nakumba ile UEFA nafikili ilikuwa 16 Bora , tunacheza na Monaco ....Bernado silva kashinda tuzo zote za UCL player of the week na UCL goal of the week.
Mind game hataki watu wampe pressure kwenye final ya CL ....Pep anasema ubingwa wa EPL ndio wa muhimu zaidi ya hayo mawili mengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2628378
Nightmare
Huyu asitutanie hapaa, sisi tunataka UEFA, huyu kipara asije uza hii final, ashaanza mbambamba hapaPep anasema ubingwa wa EPL ndio wa muhimu zaidi ya hayo mawili mengine.
SureAnastahili
Bernado ni world class hilo wala halihitaji mjadala na sidhani kama kuna mtu ana doubt uwezo wa bernado.Nakumba ile UEFA nafikili ilikuwa 16 Bora , tunacheza na Monaco ....
Etihad tukawafunga 5 aguero alikuwa moto ,stone na kolorav ndio CB[emoji23] sagna anacheza LB ....
Uzuri tulikuwa na winger matata sane na sterling ....
Lakin tulivoenda Monaco kule aisee , bernado silva na fabihno walitunyanyasa japo hakufunga lakin nahisi ndio sababu ya pep kumnunua bernado ,aisee alizidhalilisha midifilder zetu,,ile game tulipigwa mapema mnoo .....
Bernado silva ni bonge la mchezaji Toka zaman ,ni vile tu watu huwa wanaangalia statistics za magoli +assist kumjaji mchezaji ...
Monaco ya kipindi hiko ilikua ya moto asee, kina bernado,mbappe, bakayoko, falcao aisee walituaibisha sana.Nakumba ile UEFA nafikili ilikuwa 16 Bora , tunacheza na Monaco ....
Etihad tukawafunga 5 aguero alikuwa moto ,stone na kolorav ndio CB[emoji23] sagna anacheza LB ....
Uzuri tulikuwa na winger matata sane na sterling ....
Lakin tulivoenda Monaco kule aisee , bernado silva na fabihno walitunyanyasa japo hakufunga lakin nahisi ndio sababu ya pep kumnunua bernado ,aisee alizidhalilisha midifilder zetu,,ile game tulipigwa mapema mnoo .....
Bernado silva ni bonge la mchezaji Toka zaman ,ni vile tu watu huwa wanaangalia statistics za magoli +assist kumjaji mchezaji ...
Hizi sera za kutokumzuia mchezaji hazifai, bernado sio wa kumuachia aende, tena kwa bei ya € 70 million timu yoyote ikiamua inamchukua.Bernado silva kashinda tuzo zote za UCL player of the week na UCL goal of the week.
Falcao mbwa yule mpaka Sasa goli lake linaniijia kichwani ,tulitoka kizembe sanaa ,enzi hizo goli la ugenin ndio lemtutoa maana aggregate ilikuwa 6-6 ....Monaco ya kipindi hiko ilikua ya moto asee, kina bernado,mbappe, bakayoko, falcao aisee walituaibisha sana.
Unafikiri hata anamaanisha basi, wote tunajua UEFA ndio kitu pekee kinachowapa critics wake maneno ya kumsema, wanakwambia "pep can't win UEFA without messi" halafu leo yeye atuambie EPL ndio muhimu zaidi [emoji3] NEVER.Huyu asitutanie hapaa, sisi tunataka UEFA, huyu kipara asije uza hii final, ashaanza mbambamba hapa
Anataka kunitibua sasa. Khaaaah
Mind game hizo ,Kwa Sasa pep anahitaji CL kuliko hizo fa na PLUnafikiri hata anamaanisha basi, wote tunajua UEFA ndio kitu pekee kinachowapa critics wake maneno ya kumsema, wanakwambia "pep can't win UEFA without messi" halafu leo yeye atuambie EPL ndio muhimu zaidi [emoji3] NEVER.
11 years without UCL trophy eti leo anakwambia EPL is most important ambayo anaibeba kila msimu.Mind game hataki watu wampe pressure kwenye final ya CL ....