The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

PARTY AFTER PARTY

Sunday- EPL tittle

2 warm up matches (brighton, brentford)

June 3- FA cup

June 10- UCL trophy

how do they call it?
UNPRECEDENTED TREBLE.
Kwamba ligi tunamaliza rasmi jumapili, hizo zingine ni warm up tu.
 
Tunaposema treble tunaonekana vichaa haya.
Sisi tunaendelea kutafuna mdogo mdogo tu hatuna papara.

3 matches remain
 
Mechi za brighton,brentford ndio za kuwapa nafasi kina perone,lewis,kalvin,gomez,palmer na wao wacheze.
 
IMG_3657.jpg

Pata picha izi tim mbili zingekutana
 
Kevin de bruyne and Erling haaland are among the nominees for the EPL player of the season award.
 
Paul Merson:

"Man City winning this season's treble will be a bigger achievement than Man United's in 1999."

[emoji848][emoji848]
 
Fifa wafanye uchunguzi imekuwaje jana arsenal wameingia etihad kucheza na machester city wakiwa wamevaa jezi ya real madrid.[emoji23][emoji23]
 
watu wanasema mashabiki wa City ni watoto au wamehama team so mbaya kwakuwa sio kabila dini tunahama hamtuulizi sembuse team mwaka huu na mwakani dozi ile ile
 
Watoto wajuzi timu yao nzima wenye experience ya uefa final hawazidi 5 ....Wanataka kupambana na wahuni
Yani stones abebe uefa mbele ya rudiger come on bro unamuonea stones wawatu ...his isn't matured for this cup "War" apambane maybe na kina Everton

Oh wait everton kamfunga jana brighton na yupo kwa religation battle na atacheza na city on sunday home
Damn ...city trebles itakuwa chungu wasijisahau

TUPO HAPA KUWAJAZIA NZI KAMAWAO WANAVOWAJAZIA WATU KWA THREADS ZAO
Stones anaenda kubeba UEFA
 
Mashabiki wa hii timu wanaundwa na watu wa makundi 3

1.watoto waliozaliwa 2005 na kuendelea

2.Wahamiaji waliotoka timu zao za asili

3.Wazee wa kubeti

Sasa hapo bora ilo kundi la tatu
 
Back
Top Bottom