The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Inter Milan Bingwa Tukutane 10 JUNE Istanbul, Lukaku akiwaga Belgium ni mzembe ila Akiwa Inter ni Messi mtupu.

Ngoja nikanunue Jezi ya Inter kabsa tayar kwa kushangilia Ubingwa wao,

Hawa Man City(Nyumbu pro) ni Timu bora EPL tu ila UEFA watasubiri sana na Hilo litadhihirishwa Na aliyewah kuwa Bingwa wa wakt Huo, na sasa amelud tena Kwny Ufalme wake Mnyama Inter Milan AKA Milano

Man city Hiyo siku kitu pekee mnachoweza kufunga hiyo siku ni Kufunga Chupa za Maji tu Tukutane 10 JUNE, Wanangu Inter Dunia ipo Nyuma yenu Tunataka Mshinde hizi Nyumbu za Man city zina kelele sana Kam wenzao wa Man utd,

Alf mm Nashangaa hivi Man city imepata Lini Mashabiki Bongo, nyie wote ni watu mliokimbia klabu zenu za Man utd,chelsea,Arsenal na Liverpool hebu mlud Kwny Timu zenu huko.

INTER MILAN BINGWA 2023 Historia inaandikwa Tena,

Mapasi Kumi(Man City) hawatoamini Macho Yao.
 
Tesekaaaaa taratibuuuuu kijanaa, kwan lazimaa upige keleleeee??

Citizen huu mwaka tuna jambo letu kwa UEFA.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Inter Milan Bingwa Tukutane 10 JUNE Istanbul, Lukaku akiwaga Belgium ni mzembe ila Akiwa Inter ni Messi mtupu.

Ngoja nikanunue Jezi ya Inter kabsa tayar kwa kushangilia Ubingwa wao,

Hawa Man City(Nyumbu pro) ni Timu bora EPL tu ila UEFA watasubiri sana na Hilo litadhihirishwa Na aliyewah kuwa Bingwa wa wakt Huo, na sasa amelud tena Kwny Ufalme wake Mnyama Inter Milan AKA Milano

Man city Hiyo siku kitu pekee mnachoweza kufunga hiyo siku ni Kufunga Chupa za Maji tu Tukutane 10 JUNE, Wanangu Inter Dunia ipo Nyuma yenu Tunataka Mshinde hizi Nyumbu za Man city zina kelele sana Kam wenzao wa Man utd,

Alf mm Nashangaa hivi Man city imepata Lini Mashabiki Bongo, nyie wote ni watu mliokimbia klabu zenu za Man utd,chelsea,Arsenal na Liverpool hebu mlud Kwny Timu zenu huko.

INTER MILAN BINGWA 2023 Historia inaandikwa Tena,

Mapasi Kumi(Man City) hawatoamini Macho Yao.
This time no lucky the best will win CL ..

Tutamkanda inter millan mpaka yeye mwenyewe atatamani kukimbia uwanja .....kama Madrid tulivo mnyoroosha ...

Sisi hatuchezi kumaliza muda ,tunacheza kuhakikisha opponent analia machozi ya damu na kusema chukua kombe Hilo hapo ....
 
May God bless us , am sure this will not happen again ...
FB_IMG_16844053374984509.jpg
 
[emoji2424] Luka Modrić (Real Madrid C.F.): "Manchester City have been superior. We have to recognize it and congratulate them. Now we have to assimilate the defeat and then we will see what happens.."
 
Paul Merson:

"Man City winning this season's treble will be a bigger achievement than Man United's in 1999."

Man UTD iliyoshinda trebel haikuwa ya moto kama city ,city is total dominating the opponent...

Kama tukichukua CL basi tutakuwa timetengeneza bonge la histroria
IMG-20230518-WA0067.jpg
 
Jana naona Vini, Benzema na Rodrygo wamewekwa mfukoni
Kama magoli yote ya wazi yangeingia matokeo yangekuwa 8-1
Hongereni kwa ushindi ila msibweteke
Kumbuka sisi Chelsea 2021 mlijua wazi mtatufunga lakini ikawa tofauti
Intermilan wanaweza wakawafanyia walichowafanyia Barcelona na Bayern 2010
No more suprises.
Ile 2021 ni pep tu alioverthink, pep ndie alitukosesha lile kombe ila this time around, it's banger after banger after banger.
 
PARTY AFTER PARTY

Sunday- EPL tittle

2 warm up matches (brighton, brentford)

June 3- FA cup

June 10- UCL trophy

how do they call it?
UNPRECEDENTED TREBLE.
 
Jana naona Vini, Benzema na Rodrygo wamewekwa mfukoni
Kama magoli yote ya wazi yangeingia matokeo yangekuwa 8-1
Hongereni kwa ushindi ila msibweteke
Kumbuka sisi Chelsea 2021 mlijua wazi mtatufunga lakini ikawa tofauti
Intermilan wanaweza wakawafanyia walichowafanyia Barcelona na Bayern 2010
Inter tutawafunga, mwaka huu na sisi tuonje ladha ya hili kombe.
 
Back
Top Bottom