The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Chelsea wanataka watupige € 50m kwa kova, Txiki kawaambia msinitanie wee.
 
Kalvin hizi mechi 3 azitumie vizuri
sasa hivi atapata angalau dakika 60-80 za kucheza kwa hizi mechi 3.
Kina gundo, kdb, rodri and co bado watakua wanapewa dakika kadhaa sababu timu bado inahitaji rythym kuelekea zile fainali 2.
 
Yaaani hiki kikosi chetu kikimfunga Chelsea basi itabidi Chelsea wajitafakali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani mapema tu mashabiki wa city washaanza poznan celebration
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…