De zerbi hawezi Toka Brighton ,na sidhani kama ni mbadala wa pep ,....
Kusema kweli team ikishashinda kila kitu kama vile Kuna hali flani ya molari kupungua maana kila mchezaji anakuwa na medal ya kitu anachotaka ,pep anakuwa hana maneno ya ziada tena kuwashawishi wachezaji Kama mwanzo ......
Ndio maana nikasema wakitaka kuona city inazidi kutawala epl tukose UEFA mwaka huu ," hizi kauli za pep hawezi win CL bila mess " ndio zinamfanya pep awe wa moto huko dressing room kuhimiza wachezaji kupambana ,...