Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UEFA mwaka huu ni yetuu, hatutaki utani hapaaa. KhaaaahDe zerbi hawezi Toka Brighton ,na sidhani kama ni mbadala wa pep ,....
Kusema kweli team ikishashinda kila kitu kama vile Kuna hali flani ya molari kupungua maana kila mchezaji anakuwa na medal ya kitu anachotaka ,pep anakuwa hana maneno ya ziada tena kuwashawishi wachezaji Kama mwanzo ......
Ndio maana nikasema wakitaka kuona city inazidi kutawala epl tukose UEFA mwaka huu ," hizi kauli za pep hawezi win CL bila mess " ndio zinamfanya pep awe wa moto huko dressing room kuhimiza wachezaji kupambana ,...
[emoji23][emoji23]inter millan tunaenda kuwapa kichapo mapema sanaa ....usiogopeUEFA mwaka huu ni yetuu, hatutaki utani hapaaa. Khaaaah
Yaan mwaka huu wasipotupa UEFA watatueleza vizuri, wasitutanie hapa.[emoji23][emoji23]inter millan tunaenda kuwapa kichapo mapema sanaa ....usiogope