Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Tukishanyanyua kwapa la UEFA ndio watapoteana jumla.Safi sana the citizen,naona uzi wetu baada ya mechi umekuwa poa sana maana wale mashabiki wanaokuja kutupondaponda wamekimbia mazima
[emoji23][emoji23]Mtoto mdogo hata miaka 25 Bado lakin Yuko na watoto wawili plus hot wife ...tutafute pesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]View attachment 2630889
Kuna interview Moja niliona foden anasema amewahi kuoa Kwa sababu akiwa nyumbani ,ameboeka starehe yake ni kupiga mbususu tu .....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jack ni muhuni we cheki alivyokuwa akishangilia the time anaenda kuchukuwa medalKuna interview Moja niliona foden anasema amewahi kuoa Kwa sababu akiwa nyumbani ,ameboeka starehe yake ni kupiga mbususu tu .....[emoji23][emoji23][emoji23]
Grealish ni kwenda viwanja kupiga wine ,na mtoto mzuri yeyote atakayejileta anaondoka nae [emoji23]...ndio maana ile kesi ya Mendy ya ubakaji inasemekana kabla Mendy hajaanza kuuomba mbususu Kwa yule demu ,jack alikuwa kashamgongo siku hiyo hiyo ,sema msala ulikuja kuangukia Kwa Mendy ...
Haaland na yeye zinaiva na jack ,ni wazee wa out ,kupiga wine ,kiufupi jack ni mjanja mjanja Sana ,baada ya game haaland huwa anamuuliza jack "oyaa vip Leo viwanja wapi ," [emoji23][emoji23]
Foden ananiacha hoi mie kwa kweli.Mtoto mdogo hata miaka 25 Bado lakin Yuko na watoto wawili plus hot wife ...tutafute pesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]View attachment 2630889
KDB ndo anaonekana yuko cool ila yeye kutumia pamba hajamboo, kila brand ako nayoo afu OG. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna interview Moja niliona foden anasema amewahi kuoa Kwa sababu akiwa nyumbani ,ameboeka starehe yake ni kupiga mbususu tu .....[emoji23][emoji23][emoji23]
Grealish ni kwenda viwanja kupiga wine ,na mtoto mzuri yeyote atakayejileta anaondoka nae [emoji23]...ndio maana ile kesi ya Mendy ya ubakaji inasemekana kabla Mendy hajaanza kuuomba mbususu Kwa yule demu ,jack alikuwa kashamgongo siku hiyo hiyo ,sema msala ulikuja kuangukia Kwa Mendy ...
Haaland na yeye zinaiva na jack ,ni wazee wa out ,kupiga wine ,kiufupi jack ni mjanja mjanja Sana ,baada ya game haaland huwa anamuuliza jack "oyaa vip Leo viwanja wapi ," [emoji23][emoji23]
Vinn Kuna muda namuona kama anacheza na jukwaa badala ya kudeal na mpira uwanjan ,kusema ukweli aliwakejeli mashabiki wa Valencia kuwa team yao itashuka daraja na itaenda division 1 huko [emoji23]basi kama unavojua mashabiki walivo ..wakamuanzia maneno ...Jana vini jr amebaguliwa hadi huruma aisee, mashabiki wakawa wanamuimba "monkey" "monkey" kwa kispaniola.
Buyern hawawezi kutupa kimmich mzee ,cancelo yeye keshayakanyaga ..Kuna uwezekano tukafanya swap deal na bayern, tukawaachia Cancelo wakatupa Kimmich.
Kdb Yuko humble Sana ,ana mke waje safii kabisa ...KDB ndo anaonekana yuko cool ila yeye kutumia pamba hajamboo, kila brand ako nayoo afu OG. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]