The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

morning
FB_IMG_16847328692551711.jpg
 
HE'S HIM [emoji1022]󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿[emoji294]

[emoji2788] Called a 100M flop. Called overrated. Called a player that "wouldn't live up to the hype".

This season, Jack Grealish has been silencing every single hater that he has. While the stats don't show the whole story, @JackGrealish has been one of the best City players of the season, providing a huge impact on Guardiola's system and creating many chances for his team.

[emoji1628] @JackGrealish has the most chances created in the #ChampionsLeague this season (35), averaging 3.7 chances created per 90min
premierleague-20230521-0010.jpg
 
Sterling aliyakanyagaa

Raheem Sterling had to give his former teammates a guard of honour [emoji51]
FB_IMG_16847334713511185.jpg
 
[emoji2424] Ilkay Gündogan: "This season feels even more special than previous ones! My arms are already ready to lift two more titles!"
 
[emoji23][emoji23]
Kuna interview Moja niliona foden anasema amewahi kuoa Kwa sababu akiwa nyumbani ,ameboeka starehe yake ni kupiga mbususu tu .....[emoji23][emoji23][emoji23]

Grealish ni kwenda viwanja kupiga wine ,na mtoto mzuri yeyote atakayejileta anaondoka nae [emoji23]...ndio maana ile kesi ya Mendy ya ubakaji inasemekana kabla Mendy hajaanza kuuomba mbususu Kwa yule demu ,jack alikuwa kashamgongo siku hiyo hiyo ,sema msala ulikuja kuangukia Kwa Mendy ...

Haaland na yeye zinaiva na jack ,ni wazee wa out ,kupiga wine ,kiufupi jack ni mjanja mjanja Sana ,baada ya game haaland huwa anamuuliza jack "oyaa vip Leo viwanja wapi ," [emoji23][emoji23]
 
Jack ni muhuni we cheki alivyokuwa akishangilia the time anaenda kuchukuwa medal
 
Kuna interview Moja niliona foden anasema amewahi kuoa Kwa sababu akiwa nyumbani ,ameboeka starehe yake ni kupiga mbususu tu .....[emoji23][emoji23][emoji23]

Grealish ni kwenda viwanja kupiga wine ,na mtoto mzuri yeyote atakayejileta anaondoka nae [emoji23]...ndio maana ile kesi ya Mendy ya ubakaji inasemekana kabla Mendy hajaanza kuuomba mbususu Kwa yule demu ,jack alikuwa kashamgongo siku hiyo hiyo ,sema msala ulikuja kuangukia Kwa Mendy ...

Haaland na yeye zinaiva na jack ,ni wazee wa out ,kupiga wine ,kiufupi jack ni mjanja mjanja Sana ,baada ya game haaland huwa anamuuliza jack "oyaa vip Leo viwanja wapi ," [emoji23][emoji23]
KDB ndo anaonekana yuko cool ila yeye kutumia pamba hajamboo, kila brand ako nayoo afu OG. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jana vini jr amebaguliwa hadi huruma aisee, mashabiki wakawa wanamuimba "monkey" "monkey" kwa kispaniola.
 
Vinn Kuna muda namuona kama anacheza na jukwaa badala ya kudeal na mpira uwanjan ,kusema ukweli aliwakejeli mashabiki wa Valencia kuwa team yao itashuka daraja na itaenda division 1 huko [emoji23]basi kama unavojua mashabiki walivo ..wakamuanzia maneno ...
 
KDB ndo anaonekana yuko cool ila yeye kutumia pamba hajamboo, kila brand ako nayoo afu OG. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kdb Yuko humble Sana ,ana mke waje safii kabisa ...

Hata alivochepuka mke wake na goalkeeper wa Madrid courtois Bado alikomaa nae [emoji23]... maajabu nikuwa wote ni wabeligiji courtois na kdb ,coucher wa ubeligiji aliona courtois hana adabu Kwa teammates na akamuuliza kdb vip huyu temteme kwenye kikosi cha taifa ya ubeligiji ,lakin kdb akasema hakuna sababu ya kumuacha courtois.....

Ndio maana ile mishoot kule bernabeu Kuna mshoot mmoja kdb alipiga mpaka courtois akajikuna mkono [emoji23],watu wakasema ilee ilikuwa personal kama kulipiza kisasi Kwa aliyewahi kumchukulia wife ..
 
Back
Top Bottom