[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] KDB ana Dunia yake sio kwa moyo huo alionao. Sijui huko vyumba vya kubadilishia nguo walikua wanatazamanaje.Kdb Yuko humble Sana ,ana mke waje safii kabisa ...
Hata alivochepuka mke wake na goalkeeper wa Madrid courtois Bado alikomaa nae [emoji23]... maajabu nikuwa wote ni wabeligiji courtois na kdb ,coucher wa ubeligiji aliona courtois hana adabu Kwa teammates na akamuuliza kdb vip huyu temteme kwenye kikosi cha taifa ya ubeligiji ,lakin kdb akasema hakuna sababu ya kumuacha courtois.....
Ndio maana ile mishoot kule bernabeu Kuna mshoot mmoja kdb alipiga mpaka courtois akajikuna mkono [emoji23],watu wakasema ilee ilikuwa personal kama kulipiza kisasi Kwa aliyewahi kumchukulia wife ..
Sio rahisBayern Munich want to sign Julián Álvarez this summer, per Bild [emoji1033][emoji2764]
Ndio tetesi zinasema hivo ,pep hawezi kumuacha Alvarez kirahisi hivo ...Sio rahis
YeahNdio tetesi zinasema hivo ,pep hawezi kumuacha Alvarez kirahisi hivo ...
Akanji £17m
Alvarez £17M
Haaland£60M
Man city wanatumia pesa[emoji23][emoji23]
Sema mwana hapat game time anaweza kutaka kusepa baadaeNdio tetesi zinasema hivo ,pep hawezi kumuacha Alvarez kirahisi hivo ...
View attachment 2633574
Mna danganya kwa kujiwekea CAP kubwa ya kuleta wachezaji wengi kwa ku fake bei halisi ya wachezaji
Akanji milion 17
Haaland Milion 60
Uongo wa karne
Mtavuliwa mataji yote,Klopp atakua nayo mataji matatu.
Man City and Pep is serial liar na kaisha anza hisi moto unaokuja
Sawaa leta za ukweli wako [emoji23][emoji23][emoji23]toka pep anafika man city Vs man United ...Wanadanganya values za wachezaji na watafungiwa ktk kesi yao hata Pep kaanza nusa harufu
Man City ni waongo sana kwenye usajili
Kwa hiyo Dortmund walikubali kudanganywa mzee [emoji23][emoji23]View attachment 2633574
Mna danganya kwa kujiwekea CAP kubwa ya kuleta wachezaji wengi kwa ku fake bei halisi ya wachezaji
Akanji milion 17
Haaland Milion 60
Uongo wa karne
Mtavuliwa mataji yote,Klopp atakua nayo mataji matatu.
Man City and Pep is serial liar na kaisha anza hisi moto unaokuja
Ulipotelea wapi wwSema mwana hapat game time anaweza kutaka kusepa baadae