The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kdb Yuko humble Sana ,ana mke waje safii kabisa ...

Hata alivochepuka mke wake na goalkeeper wa Madrid courtois Bado alikomaa nae [emoji23]... maajabu nikuwa wote ni wabeligiji courtois na kdb ,coucher wa ubeligiji aliona courtois hana adabu Kwa teammates na akamuuliza kdb vip huyu temteme kwenye kikosi cha taifa ya ubeligiji ,lakin kdb akasema hakuna sababu ya kumuacha courtois.....

Ndio maana ile mishoot kule bernabeu Kuna mshoot mmoja kdb alipiga mpaka courtois akajikuna mkono [emoji23],watu wakasema ilee ilikuwa personal kama kulipiza kisasi Kwa aliyewahi kumchukulia wife ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] KDB ana Dunia yake sio kwa moyo huo alionao. Sijui huko vyumba vya kubadilishia nguo walikua wanatazamanaje.

Woiiiiiiih
 
If Man City win the treble what's your next target Pep? [emoji848]

Pep Guardiola: "Score a goal against Spurs away." 🥲[emoji23][emoji23]
 
According to the reports from FPL raptors, Jack Grealish, Ruben Diaz, Manuel Akanji, Aymeric Laporte and Nathan Ake have not travell with the squad to Brighton.

Whether they have travel privately is remain to be seen.
 
Pep Guardiola and Txiki Begiristain have drawn up a list of summer targets, with Manchester City keen to move early once the transfer window opens.

The list includes: Alexis Mac Allister, Julio Enciso, Joshua Kimmich, Josko Gvardiol. [DiscoMirror]
FB_IMG_16849408153149553.jpg
 
Bayern Munich want to sign Julián Álvarez this summer, per Bild [emoji1033][emoji2764]
 
Akanji £17m

Alvarez £17M

Haaland£60M

Man city wanatumia pesa[emoji23][emoji23]
 
Akanji £17m

Alvarez £17M

Haaland£60M

Man city wanatumia pesa[emoji23][emoji23]

Wanadanganya values za wachezaji na watafungiwa ktk kesi yao hata Pep kaanza nusa harufu
Man City ni waongo sana kwenye usajili
 
IMG_5711.png

Mna danganya kwa kujiwekea CAP kubwa ya kuleta wachezaji wengi kwa ku fake bei halisi ya wachezaji
Akanji milion 17
Haaland Milion 60
Uongo wa karne
Mtavuliwa mataji yote,Klopp atakua nayo mataji matatu.
Man City and Pep is serial liar na kaisha anza hisi moto unaokuja
 
View attachment 2633574

Mchezaji anapokaribia kumaliza mkataba wake bei inapungua automatically.
 
View attachment 2633574
Mna danganya kwa kujiwekea CAP kubwa ya kuleta wachezaji wengi kwa ku fake bei halisi ya wachezaji
Akanji milion 17
Haaland Milion 60
Uongo wa karne
Mtavuliwa mataji yote,Klopp atakua nayo mataji matatu.
Man City and Pep is serial liar na kaisha anza hisi moto unaokuja
Kwa hiyo Dortmund walikubali kudanganywa mzee [emoji23][emoji23]

Haaland ni man city fan ,kazaliwa man city baba yake kacheza city ,mbona hamtaki kukubali kuwa anacheza kwa mapenzi sio pesa [emoji23]

Haaland hatacheza na wala hatakuja kucheza man UTD kama hujui hio chukua .....[emoji23]

Alvarez ni aguero fan,....

Akanji kaletwa city na haaland kama hujui ,haaland alimwambia pep nunua akanji ni defender mzuri [emoji23]

Endeleeni kuteseka mpaka mkufe pimbi nyie [emoji23]
 
Nilitegemea kalvin Phillips Leo kuanza , kupata mwendelezo wake ...but naona pep Yuko serious na hii game
mancity-20230524-0001.jpg
 
Back
Top Bottom