Mkuu kwa kikosi kilichoanza we kufungwa unaona ni ajabu?Pep kashaanza kudharau game ,anapoteza anaona it's normal guys come on [emoji848][emoji848]...am not happy at all ,I remember 2021 situation ,....
Just imagine kwa fixture ile tuliyokuwa nayo ilivyokuwa tight mpaka inafikia stage wachezaji wanaomba sub wengine wanaomba wasianzishwe, tumebahatika kubeba kombe mapema ni muda sahihi sasa kwa wachezaji waliokuwa overused kupumzika na kupata energy ya kutosha kumalizia final 2 zilizobaki, bado wadau wanakuja kumlaumu pep!Pep ameogopa kupata majeruhi. Maana hao Brentford wamekamia hii game kama wanacheza fainali. Halafu key players pia ni muhimu kupumzika before final maana wametumika sana consecutively.
Mdau analalamikia winning mentality, me nimemuuliza, kikosi kilichoanza ni cha wasugua benchi na majeruhi waliopona ukiacha walker, ederson,mahrez, foden na alvarez ambapo nao pia regular starters ni ederson na walker tu, hiyo rythm alitaka itoke wapi?Mkuu kwa kikosi kilichoanza we kufungwa unaona ni ajabu?
Ulitegemea nin cha zaidi kutoka kwa palmer na gomez?
Pep kutunza wachezaji kwa ajili ya finals kadharau? ok kawadharau brentford na tumefungwa then what? Hii mechi ilikua ina tofauti gani na session ya kupasha misuli joto?
Kwani FA lini?Mdau analalamikia winning mentality, me nimemuuliza, kikosi kilichoanza ni cha wasugua benchi na majeruhi waliopona ukiacha walker, ederson,mahrez, foden na alvarez ambapo nao pia regular starters ni ederson na walker tu, hiyo rythm alitaka itoke wapi?
Timu alitaka iwe na winning mentality bila kuwa na rythm?!
Tungekuwa na atleast hata regular starters 7 ndani na tukacheza vile hapo kweli mtu unaweza kuwa na doubt.
Tarehe 3, wiki ijayo.Kwani FA lini?
But pep kasema jumatano kutakuwa na training,na anategemea wote kuwepo wakiwa fit ...KDB, Manu Akanji, Ruben Dias and Jack Grealish are all injury doubts for FA cup final against Man utd.
Naichukia sana hii siku ,pumbavu Sana ....
Cha mhimu ni utulivu tu ,man UTD wamekamia hii game ,maana hawataki record yao kufikiwa ya kuchukua treble ...Kuna mwaka final FA tulipga na Wigan dah wale madogo walitufunga kama maskhara nilihudhunika sna ile siku na nadhan kocha alikuwa Manchin ina bidi mwaka huu Pep awe siriz ,kuwepo kwnye kinyang'anyiro cha kubeba treble kunakuwaga kama bahati na hakuji kila mwaka so umakini unahtjika sana kuhakikisha haya makombe mawili yaliyobaki yanatua pale Etihad
mkuu umeongea ukweli pep sio mjinga kdb au Ruben akipata injury kwa game isiyo ya msingi nan ata cover nafasi zao sometimes we have to think beyond.Dah watu mnalalamika kisa tumefungwa na brentford [emoji23][emoji23]
Kwaiyo mlitaka tucheze afe kipa afe beki kwenye mechi ambayo haina impact yeyote?! Kocha yeyote yule angekuwa kwenye situation aliyopo pep asingefanya hivyo mnavyotaka.
Kombe tumebeba huku zimebaki mechi 2, baada ya hapo zinafata final 2 mfululizo halafu bado mnataka timu ipambane kama vile tunapambania kombe ebu acheni utani.
Niambieni ni kocha gani dunia hii angekuwa ana final 2 zinamsubiri halafu bado anakomaa na mechi ambazo hazina impact, nani?
Hao kina KDB wangeumia bado tungekuja kuanza kulialia humu kwamba oh pep anaweka full mkoko kwa mechi ya hivi anarisk wachezaji.