The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mechi ya leo tumefungwa kwa sababu hizi.

1. Weak line up
2. Unimportant match

Wachezaji wengi wameanza leo ni wasugua benchi (laporte, gomez, lewis, kalvin, palmer) hapo hakuna namna yeyote wangeweza kuwa na rythm kama waliyokuwa nayo regular starters kina kdb, gundo, bernado, rodri n.k

Sasa hapo unamlalamikia pep maana yake ulitaka aendelee kurisk regular starters ili tumfunge brentford? With 2 finals ahead?!
 
Pep kashaanza kudharau game ,anapoteza anaona it's normal guys come on [emoji848][emoji848]...am not happy at all ,I remember 2021 situation ,....
Mkuu kwa kikosi kilichoanza we kufungwa unaona ni ajabu?
Ulitegemea nin cha zaidi kutoka kwa palmer na gomez?
Pep kutunza wachezaji kwa ajili ya finals kadharau? ok kawadharau brentford na tumefungwa then what? Hii mechi ilikua ina tofauti gani na session ya kupasha misuli joto?
 
Pep ameogopa kupata majeruhi. Maana hao Brentford wamekamia hii game kama wanacheza fainali. Halafu key players pia ni muhimu kupumzika before final maana wametumika sana consecutively.
Just imagine kwa fixture ile tuliyokuwa nayo ilivyokuwa tight mpaka inafikia stage wachezaji wanaomba sub wengine wanaomba wasianzishwe, tumebahatika kubeba kombe mapema ni muda sahihi sasa kwa wachezaji waliokuwa overused kupumzika na kupata energy ya kutosha kumalizia final 2 zilizobaki, bado wadau wanakuja kumlaumu pep!
 
Mkuu kwa kikosi kilichoanza we kufungwa unaona ni ajabu?
Ulitegemea nin cha zaidi kutoka kwa palmer na gomez?
Pep kutunza wachezaji kwa ajili ya finals kadharau? ok kawadharau brentford na tumefungwa then what? Hii mechi ilikua ina tofauti gani na session ya kupasha misuli joto?
Mdau analalamikia winning mentality, me nimemuuliza, kikosi kilichoanza ni cha wasugua benchi na majeruhi waliopona ukiacha walker, ederson,mahrez, foden na alvarez ambapo nao pia regular starters ni ederson na walker tu, hiyo rythm alitaka itoke wapi?

Timu alitaka iwe na winning mentality bila kuwa na rythm?!
Tungekuwa na atleast hata regular starters 7 ndani na tukacheza vile hapo kweli mtu unaweza kuwa na doubt.
 
Kwani FA lini?
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2424] Erik Ten Hag (Manchester United): "When I say these words, there's still one games to go. I'm sure these players will give everything to beat Manchester City next week. We will give everything to bring the cup back to Old Trafford.."
 
[emoji2424] Pep Guardiola: "I told the players after the game, today we finish the Premier League that you deservedly won, enjoy two days with your families and on Wednesday we will prepare the first final."
FB_IMG_16853285789002872.jpg
 
City's training sessions have been reduced since they won the league in order to give the players much time to recover after a hectic schedule they had.
 
Naichukia sana hii siku ,pumbavu Sana ....

Tulikuwa tumetoka kunyanyua epl hivi hivi ...

Nashangaa tulicheza mpira wa kijinga kabisa ,man city iliyokuwa inatengeneza nafasi ,chance after chance huwezi Amin siku hio hakuna hata chance za maana zilizofanyika ...

Kdb akaumia nikajua laaahauraaaa ....

Team ikapanic ikaacha kucheza Kwa tactics ikawa ni kubutuabutua ili kwenda mbele[emoji848] mara dakika 70,80,85,89,90+ ft [emoji848]...

This time pep ajipange ,CL final huwa ni uhuni mwingi unatumika ,tunaenda kucheza na team ambayo haina mpango wa kupossess mpira ,wanakusubili kwenye transition ....uchezaji wa namna hii huwa ni mbaya sanaa
 
[emoji1189] Erling Haaland was seen smiling in his first match for Man City against Liverpool after missing 2 big chances.

[emoji460]️ He went on to score 52 goals and provide 9 assists in all competitions.

[emoji736] In the Premier League, he scored 36 goals, contributed 8 assists, and won the Golden Boot.

[emoji966]Haaland was awarded the Premier League Player of the Season and Young Player of the Season.

[emoji294]️ He won the FWA Forward of the Season award.

[emoji471] He's already a Premier League champion and is currently competing in the FA Cup and UEFA Champions League finals.

It's truly incredible. [emoji1433][emoji91]
FB_IMG_16853805345424963.jpg
 
Kuna mwaka final FA tulipga na Wigan dah wale madogo walitufunga kama maskhara nilihudhunika sna ile siku na nadhan kocha alikuwa Manchin ina bidi mwaka huu Pep awe siriz ,kuwepo kwnye kinyang'anyiro cha kubeba treble kunakuwaga kama bahati na hakuji kila mwaka so umakini unahtjika sana kuhakikisha haya makombe mawili yaliyobaki yanatua pale Etihad
 
Cha mhimu ni utulivu tu ,man UTD wamekamia hii game ,maana hawataki record yao kufikiwa ya kuchukua treble ...
 
Dah watu mnalalamika kisa tumefungwa na brentford [emoji23][emoji23]

Kwaiyo mlitaka tucheze afe kipa afe beki kwenye mechi ambayo haina impact yeyote?! Kocha yeyote yule angekuwa kwenye situation aliyopo pep asingefanya hivyo mnavyotaka.

Kombe tumebeba huku zimebaki mechi 2, baada ya hapo zinafata final 2 mfululizo halafu bado mnataka timu ipambane kama vile tunapambania kombe ebu acheni utani.

Niambieni ni kocha gani dunia hii angekuwa ana final 2 zinamsubiri halafu bado anakomaa na mechi ambazo hazina impact, nani?
Hao kina KDB wangeumia bado tungekuja kuanza kulialia humu kwamba oh pep anaweka full mkoko kwa mechi ya hivi anarisk wachezaji.
mkuu umeongea ukweli pep sio mjinga kdb au Ruben akipata injury kwa game isiyo ya msingi nan ata cover nafasi zao sometimes we have to think beyond.
 
treble ni lazima yaani kama unaangalia na unajua mpira yani man u na inter wamejawa na uoga
 
jmoc sio mbali eti rashford amchallenge walker akanji na Diaz bro ogopa matapeli mjini na mwakani uefa mpaka nusu tunafika muda utaongea
 
Back
Top Bottom