Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Mkuu maneno yote hayo kisa nimeweka GIF imekuudhi ama?
Sasa fatest goal atapata zawadi gani hata kuku au yai halambi
Tulia mlambe joto la final nyie mwacity wengi si watoto hamjawai kupitia kashkash kwenye team yenu ngoja muone sasa watu wanakufaga kwa presha ohoo