Sasa fatest goal atapata zawadi gani hata kuku au yai halambi
Tulia mlambe joto la final nyie mwacity wengi si watoto hamjawai kupitia kashkash kwenye team yenu ngoja muone sasa watu wanakufaga kwa presha ohoo
Hapana MkuuMkuu maneno yote hayo kisa nimeweka GIF imekuudhi ama?
una link nicheki online hapa?
Ngoja Rashidi mpemba afunge utapoteana mbonaHizo takataka zinabebwa tu hakuna lolote ...
Casemiro red card ...
ile foul ya kdb ilikuwa penalty...
Ile pale wangekua nyumbu ingewekwa tutaHizo takataka zinabebwa tu hakuna lolote ...
Casemiro red card ...
ile foul ya kdb ilikuwa penalty...
Mashaanza kupanic. Mtabakia tu na premier leagueCan't beat City fairly
Pengo la sterling linaonekana waziwazi.Hii second half tunamaliza kazi, here we go
Relax bro this is City💪🏼💪🏼Mashaanza kupanic. Mtabakia tu na premier league
It's 2-1 nowKuna pundit alitabiri mzigo utakua 3-1, I can smell it