The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kila la kheri inter Milan
Man City ina laana ya Uefa
Mkipata hata goli moja nipo pale mje
 
Tunafaham wazi kbs kua tuna maadui weng leo tena wako kmy wanasbr litokee la kutokea watoke vichakani.

Lkn nipende kuwaambia leo ndo mwsh wa wao kujificha kwny kile kichaka "City sio team kubwa haina ubingwa wa ulaya" wamejificha sana kwa mda hapo na ss ni wkt wa kufyeka kichaka hicho.

Let's Go The Cityzens [emoji838]
 
Leo mme jiamini sana ndo anguko lenu lazima mchapwe .takua hapa kuwa fariji
 
Safari ya kibabe ya the CITYZENS kuelekea Istanbul.

GROUP STAGE

Sevilla 0-4 Man City
Man City 2-1 Dortmund
Man City 5-0 Coppenhagen
Coppenhagen 0-0 Man City
Dortmund 0-0 Man City
Man City 3-1 Sevilla


ROUND OF 16

RB leipzig 1-1 Man City
Man City 7-0 RB Leipzig


QUARTER FINAL

Man City 3-0 Bayern Munich
Bayern Munich 1-1 Man City


SEMI FINAL

Real Madrid 1-1 Man City
Man City 4-0 Real Madrid

Huku ndio kupita bila kupingwa.
 
Ndio na haturingii wala nn, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inter kapita kwa kina porto, benfica, ac milan, njia za ki uropa uropa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…