Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
.today is a day to lift this cup ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi pita njia za panya panya kuchukua CL ...Inter kapita kwa kina porto, benfica, ac milan, njia za ki uropa uropa.
Hawa we waache tutaongea nao vzr baada ya game.Tatizo mnaishi kwa kukariri
Mm nasoma comments zao mmoja baada ya mwngne nasbr baadae tutaongea vzr.Kuna Watu bado wanasubiri maajabu, acha tuwatafutie viti wakae.
"Arab money can't buy UEFA" haka ka kauli haka.Mm nasoma comments zao mmoja baada ya mwngne nasbr baadae tutaongea vzr.
Naona watu hawatak amin kua sisi ndo mabingwa wapya wa ulaya.. Wanaona kichaka chao cha kujificha ss kinaenda kufyekwa
[emoji23][emoji23]Yan watabadilisha sana narrative saiv ngj game iishe baadae."Arab money can't buy UEFA" haka ka kauli haka.
Sasa hivi hali inaenda kuwa tofauti.
" UEFA need to be bought by arab money"
Wanakwambia leo inter ataushangaza ulimwengu [emoji23]Kuna Watu bado wanasubiri maajabu, acha tuwatafutie viti wakae.
Acha waendelee kujipa matumaini.Huwezi pita njia za panya panya kuchukua CL ...
Inter millan Leo tunaenda kumhalibu vibaya mno ....
Keep watching...
Kupaki bus & counter attack.Leo inter itakua ni low block tu, wana watu wenye uwezo mkubwa kufanya hiyo kazi, unfortunately kwao, tumekutana na timu nyingi tu zinazocheza low block na wamepasuka, nothing new.
Wacha tuoneWanakwambia leo inter ataushangaza ulimwengu [emoji23]
Msianze kutafuta vichaka vya kujificha, tulikubaliana yaya toure kamlaani pep.Naona Pep kaamua kumalizana na mwamba...
Hili gundu lisingewaacha salama leo...
View attachment 2652757
Mwamba yupo serious na kombe mwaka huu karibia kila kizingiti kakiondoa ashindwe yeye tuuMsianze kutafuta vichaka vya kujificha, tulikubaliana yaya toure kamlaani pep.
[emoji23] hamna rangi mtaacha kuona.