The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.today is a day to lift this cup ..
IMG-20230610-WA0040.jpg
 
Tatizo mnaishi kwa kukariri
Hawa we waache tutaongea nao vzr baada ya game.

Unajua wanaleta mazoea.

Walileta mazoea ayo ayo kwa Madrid.. Porojo nyng ooh huyu ndo mwny michuano yake mara akifika hii hatua ndo bas tena anabeba mara oooh sijui huyu DNA yake mara RNA na michuano hii.. Tukasema sawa.. Tukampa 4 akarud nymbn.. Lkn naona bd hawajajifunz ngj leo tumnyooshe mwngne huyu wanayemtegemea
 
Kuna Watu bado wanasubiri maajabu, acha tuwatafutie viti wakae.
Mm nasoma comments zao mmoja baada ya mwngne nasbr baadae tutaongea vzr.

Naona watu hawatak amin kua sisi ndo mabingwa wapya wa ulaya.. Wanaona kichaka chao cha kujificha ss kinaenda kufyekwa
 
Mm nasoma comments zao mmoja baada ya mwngne nasbr baadae tutaongea vzr.

Naona watu hawatak amin kua sisi ndo mabingwa wapya wa ulaya.. Wanaona kichaka chao cha kujificha ss kinaenda kufyekwa
"Arab money can't buy UEFA" haka ka kauli haka.

Sasa hivi hali inaenda kuwa tofauti.

" UEFA need to be bought by arab money"
 
Natamani MANCHESTER city afungwe lkn najua kabisa akishinda chache ni 3:0

Hasa inter Milan wamepita njia ambayo hata timu zangu za Gungu rangers na fc bandari ya tanga zingepita

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Ushindi leo maana yake ni-:

Taji la kwanza la UCL kwa city.

Treble kwa city na treble ya 2 kwenye soka la uingereza na ya 10 kwenye soka la ulaya.

Taji la 3 la UCL kwa pep.

Ushindi wa 300 kwa city chini ya pep.
 
Leo inter itakua ni low block tu, wana watu wenye uwezo mkubwa kufanya hiyo kazi, unfortunately kwao, tumekutana na timu nyingi tu zinazocheza low block na wamepasuka, nothing new.
Kupaki bus & counter attack.
Ndio approach yao, wakisema wafunguke tutaua ladha ya fainali.
 
Naona Pep kaamua kumalizana na mwamba...


Hili gundu lisingewaacha salama leo...
Screenshot_20230610-155156.png
 
Back
Top Bottom