Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Ndo wanacho tegemea na wajue kbs watapasuka.Leo inter itakua ni low block tu, wana watu wenye uwezo mkubwa kufanya hiyo kazi, unfortunately kwao, tumekutana na timu nyingi tu zinazocheza low block na wamepasuka, nothing new.
Kosi letu naona liko vzr kbs.
Leo ubingwa wa ulaya unakuja Etihad.