The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Acheni kucheza mmelegea, hawa jamaa inabidi kutumia mipira mirefu ili kuvunja ukuta wa katikati, vinginevyo mkipigwa kimoja hii shughuli itakuwa ngumu kwenu kutoboa maana ukuta wa Rumi utaimarishwa mara kumi
 
Back
Top Bottom