Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Acha ujinga kdb kaumia, mpira huangalii unapayuka tuPep ni mbaguzi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga kdb kaumia, mpira huangalii unapayuka tuPep ni mbaguzi tu
Unachekacheka nini wewe mbaguzi kama PepNimecheka kwa nguvu
Mkuu naangaliaAcha ujinga kdb kaumia, mpira huangalii unapayuka tu
PENGO LA RAHEEM STERLING LINAONEKANA WAZIWAZI
Pep ubaguzi utamponza!
Hata kama Pep kahusika
Wakabe hivyo hivyo la sivyo wakilegeza watafungwa. Pep kibindi cha pili amuingize Mahrez na Walker. Huyu Ake asingeanza.Hawa inter wanapiga mpira kazi. Kazi ipo leo. Sema ushindi upo
Dah kdb wangu hadi analia
Na aatapigwa kwa ujuaji mwingi we umuweke walker nje mtu mwenye nguvu na Kasi yakushambulia nakurudi kukaba kwenye nafasi yake kwa harakaWakabe hivyo hivyo la sivyo wakilegeza watafungwa. Pep kibindi cha pili amuingize Mahrez na Walker. Huyu Ake asingeanza.
Angalau Mahrez acheze mechi yake ya mwisho City kabla ya kwenda Saudi Arabia
Ni kama City wamepanic na nervous. Inabidi watulie. Ila Inter wanavyokaba.Kipindi cha kwanza kilikuwa cha Hovyoooo.
Na aatapigwa kwa ujuaji mwingi we umuweke walker nje mtu mwenye nguvu na Kasi yakushambulia nakurudi kukaba kwenye nafasi yake kwa haraka
KDB katokaaa? Bas tumefungwaaaaa.Sawa ila KDB katolewa sababu ya kupata majeraha