Kwan hujui hii nitimu ndogo ambayo haijawai hata kuchukua uropa nahapo wanakutana nawatu wazoefu ambao wanandoo tayar ya uefaMbona man city pressure kubwa sana why ???
Achen zarau inter wako imara wana jambo laoooInter wanazidi kuwa na confidence wakati sisi ndio tunazidi kuvurugika, tumepoteana kwa namna flani, inataka kujirudia ya 2021
Walker amekuja kupata nafasi kuanzia semi final tena baada ya Ake kuumia, huko kwingine ilikua ni Ake-Akanji, muwe mnafatilia so kuongea tu kwa hisia.Na aatapigwa kwa ujuaji mwingi we umuweke walker nje mtu mwenye nguvu na Kasi yakushambulia nakurudi kukaba kwenye nafasi yake kwa haraka
Kivip hapo pep lazima apigwe ujuaji umemzid angalia bernado anavocheza anafika mwisho kwenye box anabaki vyenga natamaa yakufunga mwenyeweSio kwa inter hii
Walikuwa favorite na inter underdogs (kibonde) lakini hali imebadilika. Ila na Imani City watashinda. Ninawombea washinde kwasababu ni mara yao ya kwanza. Inter wasibane sana walishalibeba.Mbona man city pressure kubwa sana why ???
Anagalia upande ule Sasa ndio uchochoro au huoniWalker amekuja kupata nafasi kuanzia semi final, huko kwingine ilikua ni Ake-Akanji, muwe mnafatilia so kuongea tu kwa hisia.
Sema Inter hawana mfungaji tu.Yaani wangemaliza hii game kipindi cha kwanza.Ni kama City wamepanic na nervous. Inabidi watulie. Ila Inter wanavyokaba.
Nina imani na Pep, yeye ni kocha mwenye uwezo mkubwa sana, najua kashawasoma inter anaweza kubadilisha mfumo ghafla akawashangazaInter wanazidi kuwa na confidence wakati sisi ndio tunazidi kuvurugika, tumepoteana kwa namna flani, inataka kujirudia ya 2021
Kivip hapo pep lazima apigwe ujuaji umemzid angalia bernado anavocheza anafika mwisho kwenye box anabaki vyenga natamaa yakufunga mwenyewe
Mkuu fainali unahitaji watu aina ya walker wenge fighting spirit mwanzo mwishoWalker amekuja kupata nafasi kuanzia semi final tena baada ya Ake kuumia, huko kwingine ilikua ni Ake-Akanji, muwe mnafatilia so kuongea tu kwa hisia.
Hawajui mpira. Hawa wanajua inter laja kinyongeeSio tamaa ya kufunga, mkuu ku unlock hiyo kiungo ya Inter usifikili ni kazi rahisi tu
Ila Stones, Rodri na ruben Diaz wanajitahidi sana midfield.Ile kiungo ya Inter imewavuruga vuruga
KaumiaVipi kwani kaumia ???
Lukaku inabidi aingizwe ASAPSema Inter hawana mfungaji tu.Yaani wangemaliza hii game kipindi cha kwanza.
Hawawezi ku unlock kiungo ya inter maana Iko imara hapo nikwenda kwa haraka namipira mirefu zaid tofaut naslow slow Wanavocheza wakifika golini inter wote wako nyuma utawafunga saa ngapSio tamaa ya kufunga, mkuu ku unlock hiyo kiungo ya Inter usifikili ni kazi rahisi tu
Tatizo la Mahrez kwenye kukaba utamkataa. Akiingia Mahrez upande wa kulia utazidiwa mapema kumfanya yule muhuni Dimarco amnyanyase Akanji zaidiWakabe hivyo hivyo la sivyo wakilegeza watafungwa. Pep kibindi cha pili amuingize Mahrez na Walker. Huyu Ake asingeanza.
Angalau Mahrez acheze mechi yake ya mwisho City kabla ya kwenda Saudi Arabia
Sema Inter hawana mfungaji tu.Yaani wangemaliza hii game kipindi cha kwanza.