The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

[emoji860] Leon Goretzka: "Haaland has no respect for the opponent. He farted every time we approached him in the last game. He did it more than once!"

Is he up to his old tricks again vs Acerbi? [emoji28][emoji100]

#UCLFinal   
 
Ile final nyingine alikutana na mmatumbi mjerumani chuma Rudigar. Rudigar mtata sana yani anakaba bila huruma.
Sina amani kabisaaa, tukikosa na Leo bas, hatuna bahati, final 3 zote patupuuu khaaah.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Bado nina imani tutatoboa hapa, kumuanzisha walker benchi ni uamuzi ambao mpaka muda huu sijauelewa
Uskute Pep na walker wanagombania demu. Haiwezekani kabisa Pep kumuacha walker asianze kwenye mechi muhimu kama hii.

Ila nikisemaga hapa pep mbaguzi nashambuliwa. Walker mama yake mzungu muingereza baba yake mwafrika mweusi mjamaica.

Ni mawazo yangu tu.
 
KDB hana bahati na UEFA final, sijui hata aliikosea nn maskini.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] had moyo unaumaaa khaaah.
Tulia mama mpo wodini tayar maumiv yataisha mkishajifungua
 
Hiyo ya tatu ni ipi? Ukiacha hii na ile ya walikutana na Chelsea
Sina amani kabisaaa, tukikosa na Leo bas, hatuna bahati, final 3 zote patupuuu khaaah.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Inter anakufa, tena vizuri tu.........watu wamekuja humu kupiga soga tu.
 
Kumbukumbu zangu ni 2. Fainali yao ya kwanza ilikuwa na Chelsea. Ya pili ni hii na inter. Labda umekosea nusu fainali ile walicheza na Tottenham Hotspur VAR ikawaangusha. Na ile nusu fainali na Madrid mwaka jan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…