The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kumbukumbu zangu ni 2. Fainali yao ya kwanza ilikuwa na Chelsea. Ya pili ni hii na inter. Labda umekosea nusu fainali ile walicheza na Tottenham Hotspur VAR ikawaangusha. Na ile nusu fainali na Madrid mwaka jan
Kweli bhanaaa, mwenzenu nshavurugwaa hapa, na KDB katokaa ndo kabisaaa, nshachanganyikiwa.
 
Walikuwa favorite na inter underdogs (kibonde) lakini hali imebadilika. Ila na Imani City watashinda. Ninawombea washinde kwasababu ni mara yao ya kwanza. Inter wasibane sana walishalibeba.

Msimu ujao PSG nao walibebe
Hakuna kugawana hivyo, umeona Pep alivyopiga msamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lukaku atawamaliza nyie [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…