Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Waulize madrid, waulize bayern, waulize leipzigHawawezi kupata goli Mpira mipasi bila mpango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize madrid, waulize bayern, waulize leipzigHawawezi kupata goli Mpira mipasi bila mpango
Tuna uefa sie usijilinganishe sie nibaba zako mkimbiz wewWee nae tutolee gubu, shabiki wa manyumbu wee,
Kweli bhanaaa, mwenzenu nshavurugwaa hapa, na KDB katokaa ndo kabisaaa, nshachanganyikiwa.Kumbukumbu zangu ni 2. Fainali yao ya kwanza ilikuwa na Chelsea. Ya pili ni hii na inter. Labda umekosea nusu fainali ile walicheza na Tottenham Hotspur VAR ikawaangusha. Na ile nusu fainali na Madrid mwaka jan
Ndo utulizane kimyaa, hata Europa league unakosaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuna uefa sie usijilinganishe sie nibaba zako mkimbiz wew
Hakuna kugawana hivyo, umeona Pep alivyopiga msamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walikuwa favorite na inter underdogs (kibonde) lakini hali imebadilika. Ila na Imani City watashinda. Ninawombea washinde kwasababu ni mara yao ya kwanza. Inter wasibane sana walishalibeba.
Msimu ujao PSG nao walibebe
Man city ugenini hawawezi, wanaweza home tu, na hiyo fainali sio nyumbani, wakomeWaulize madrid, waulize bayern, waulize leipzig
Waulize madrid, waulize bayern, waulize leipzig
We unaona nini mkuuNdio nn umeandika?