Hapo ni mashabiki wa livekuku, manyumbu, na cheltakoooKumbe City inachukiwa hivi..
Nipo kibanda umiza, walioshangilia goli ni wawili tu hapa, watu wote kimya
Tena wakose mengine mengiInter wanakosa goal la wazi jamani,mweh
Jamaa anajua sanaBernardo silva anaupiga jama messi
Ngoja tuongeze mengi goli moja halitoshiNasali sana hapa mpira uishee haraka wallah,
Mtu KAZI mtu mikazo mzee walker namuamini sana kamanda wanguAkanji off, walker on
Bila kusahau asenaneHapo ni mashabiki wa livekuku, manyumbu, na cheltakooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazimaa waumieeee mnooo.
Wee hawa inter Milan wanaweza chomoa, sio wa kuwaamini kabisaa.Ngoja tuongeze mengi goli moja halitoshi
Kabisaaa yaan.Bila kusahau asenane
Unacheka nini saint[emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]
Hamna kitu hapo kocha wao kashaanza kufanya sub za mabeki haina madhara kwetuWee hawa inter Milan wanaweza chomoa, sio wa kuwaamini kabisaa.